Timu mpaka inafungwa na Utopolo CAF basi kimeo

Timu mpaka inafungwa na Utopolo CAF basi kimeo

Yanga amewazidi parefu sana Makolo, huu wote ni wivu..
Hebu nikumbushe Kolo mara ya mwsho kumfunga Yanga ni lini... ?
Na nakufahamisha tu, mtahastle San kuifinga Yanga ndani ya miaka 10 mtaendelea kupokea vichapo na kombe mtalisikia tu likitua pale Jangwani.

Yanga hii sio size yenu kabisa madogo.. Yanga ni Timu kubwa mno
Yanga sio kubwa bali ni kongwe huo ndio ukweli uto. Hakuna tofauti ya maana kati ya yanga na Ihefu maana ubingwa wa ligi wa zaidi ya 20 hauku wasaidia msiwe omba omba kama vile ni timu iliyopanda daraja.Utopolo ni timu kongwe.
 
FT: TP Mazembe 0-2 Monastir

Huwezi kujiona una timu kwa kuifunga TP Mazembe nyumbani. TP Mazembe ni ile ya kina Samata au hii ya juzi kati ya kina Baleke.

Timu mpaka inafungwa na Utopolo hiyo sio timu ni kikundi cha wahuni. Yaani mgonjwa mahututi anakuja kupigia chafya kwako.

Angalia hapo inapigwa na Monastir 2 kwao. Nilikuwa Mazembe ilikuwaje mpaka wakashiriki kombe la losers? Sasa nimepata majibu. Kwenye hili kundi timu ni Monastir tu.
Sometimes ushabiki unafanya watu wanakuwa wanaweka akili pembeni na kubaki empty kichwani....mzee najua we ni shabiki wa Simba, sasa jiulize Mara ya mwisho Simba kuishinda Yanga ilikuwa lini? Yani kwa sasa unaamini Simba ipo imara kuliko Yanga? Una matatizo wewe
 
NBC PL imejaa Vimeo anaongoza.
Kuna kimeo alikimwagia kombe FA mbele nyuma mfululizo
 
Simba ndio timu kubwa Afrika. Levo zetu ni mamelod, al ahly na zamalek sio hao vibonde tp mazembe. mwarabu HATOKI KWA MKAPA raja watavuta pumzi ya moto
MATOKEO SIMBA 0:3 RAJA CASABLANCA.

Aliewaita simba mbumbumbu apewe PHD ya heshima maana aliona mbali sana.

Hapo kwenye afrika kadanganye wanao anza kufwatilia pila leo
 
FT: TP Mazembe 0-2 Monastir

Huwezi kujiona una timu kwa kuifunga TP Mazembe nyumbani. TP Mazembe ni ile ya kina Samata au hii ya juzi kati ya kina Baleke.

Timu mpaka inafungwa na Utopolo hiyo sio timu ni kikundi cha wahuni. Yaani mgonjwa mahututi anakuja kupigia chafya kwako.

Angalia hapo inapigwa na Monastir 2 kwao. Nilikuwa Mazembe ilikuwaje mpaka wakashiriki kombe la losers? Sasa nimepata majibu. Kwenye hili kundi timu ni Monastir tu.
Mazembe yamekuwa mazembe
 
Back
Top Bottom