Timu mpaka inafungwa na Utopolo CAF basi kimeo

Na wewe timu yako mbona Inabutuliwa tu kila siku na Yanga ko na wewe ni kibonde?
Na yanga ndio timu inayoongoza kupigwa nyingi na simba,, 6-0, 5-0, 4-1 etc
 
Mazembe walipoanza kusajili wachezaji calibre ya Mukoko Tonombe ndipo nilipoamini hii timu imeanza kujifia
 
Simba ndio timu inayoongoza kufungwa na YANGA
Simba ndio timu inayoongoza kufungwa na kibonde wetu tp MAZEMBE
Mashabiki wa THIMBA wengi wao ni mbumbumbu hawajielewi.
Waambiage hao Ngada FC Sembe FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC.
 
We kweli Juha. Unashaangaa Monastir kuifunga kwao Mazembe 2-0. Alafu hushangai Casablanca kuifunga kwao Simba 3-0.
 
Sio kikundi cha wahuni, wahuni wakiamua lao mbona mtahama mtaa, hao ni kikundi cha walevi.
 
Timu ya maana haiwezi kufungwa na yanga kwenye mashindano ya maana. Huo ndio ukweli.
 
Yanga amewazidi parefu sana Makolo, huu wote ni wivu..
Hebu nikumbushe Kolo mara ya mwsho kumfunga Yanga ni lini... ?
Na nakufahamisha tu, mtahastle San kuifinga Yanga ndani ya miaka 10 mtaendelea kupokea vichapo na kombe mtalisikia tu likitua pale Jangwani.

Yanga hii sio size yenu kabisa madogo.. Yanga ni Timu kubwa mno
 
Kwa Forehead yako iko na ujinga ati simba ni big club ilihali inanyorosha back to back na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…