Timu ndogo ungeni juhudi za Yanga ili mponee hapohapo ugonjwa wenu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Mbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni.

Anachofanya Yanga ni kuusaidia mpira wote. Timu ndogo haziwezi kufanya hiki anachokifanya Yanga, msiunge juhudi kimyakimya, jitokezeni kusema kile ambacho hamridhiki nacho kwenye ligi. Wakati ni huu.
 
Good thinking
 
Kwa akili yako unafikiri uto anagombana na TFF? Haya yote yamekuja baada ya Simba kuonyesha ukubwa wake kwa kuikatalia TFF/Bodi ya ligi kwamba hawachezi mechi na TFF/Bodi ya ligi ikafyata mkia jambo la Simba likaenda. Utopolo kwa upande wao nao wanataka kuwaonyesha simba kwamba nao ni wakubwa vile vile.Kasheshe inakuja pale TFF na bodi ya ligi wanapotaka kuwaonyesha uto kwamba hawajafikia levo za ukubwa wa simba.

Swali jepesi; Kama simba isingeivimbia bodi ya ligi na ile dabi ingechezwa tar 8, je utopolo wangeongea haya yote unayoyasikia leo au wangeendelea kuwa na imani na bodi? Akili kumkichwa.

Sasa hiyo ndiyo maana ya ubwela ubaya - mnyama msimu huu ni bingwa iwe kwa pointi za mezani au kwa kumkanda uto. Utopolo asipoingiza timu uwanjani hiyo tar 15 ndio utaijua simba ina nguvu gani na point tatu atapewa. Huu ni mkakati wa ubaya ubwela ndugu, so utopolo anacheza ngoma ya simba.
 
unacho kipawa cha......
 
Simba na Yanga ndio Zina misuli ya kuivimbia TFF, timu ndogo ziunge tella la sivyo zitakosa fursa ya kujitetea. TFF haifurukuti kwa Simba na Yanga miaka dahari, timu ndogo ndizo zinazoumizwa sana na TFF kukaa kimya kwao ni kupoteza fursa.
Kwa akili yako unafikiri uto anagombana na TFF? Haya yote yamekuja baada ya Simba kuonyesha ukubwa wake kwa kuikatalia TFF/Bodi ya ligi kwamba hawachezi mechi na TFF/Bodi ya ligi ikafyata mkia jambo la Simba likaenda. Utopolo kwa upande wao nao wanataka kuwaonyesha simba kwamba nao ni wakubwa vile vile.Kasheshe inakuja pale TFF na bodi ya ligi wanapotaka kuwaonyesha uto kwamba hawajafikia levo za ukubwa wa simba.

Swali jepesi; Kama simba isingeivimbia bodi ya ligi na ile dabi ingechezwa tar 8, je utopolo wangeongea haya yote unayoyasikia leo au wangeendelea kuwa na imani na bodi? Akili kumkichwa.

Sasa hiyo ndiyo maana ya ubwela ubaya - mnyama msimu huu ni bingwa iwe kwa pointi za mezani au kwa kumkanda uto. Utopolo asipoingiza timu uwanjani hiyo tar 15 ndio utaijua simba ina nguvu gani na point tatu atapewa. Huu ni mkakati wa ubaya ubwela ndugu, so utopolo anacheza ngoma ya simba.
a
 
Mbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni.

Anachofanya Yanga ni kuusaidia mpira wote. Timu ndogo haziwezi kufanya hiki anachokifanya Yanga, msiunge juhudi kimyakimya, jitokezeni kusema kile ambacho hamridhiki nacho kwenye ligi. Wakati ni huu.
Ungesema timu zinazodhaminiwa na jiesiem
 
Yanga haihitaji sapot ya mtu au timu yeyote kudai haki yake
 
Huwezi kufanya ujinga halafu watu wakuige,wanachofanya yanga ni ujinga tu
Timu ndogo zimekuja inbox kunipongeza, wewe tunasema ujinga3. Unadhani Kuna timu inapenda kucheza mechi saa 6 mchana? Simba anabebwa dhidi yao unadhani hawaoni
 
Mbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni.

Anachofanya Yanga ni kuusaidia mpira wote. Timu ndogo haziwezi kufanya hiki anachokifanya Yanga, msiunge juhudi kimyakimya, jitokezeni kusema kile ambacho hamridhiki nacho kwenye ligi. Wakati ni huu.
#Tunapinga
#Tunapinga
#Tunapinga matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku michezoni kwanza na sio ujinga mwingine.
 
Mbali na kuwa Simba kaonyesha msimamo wa kuto cheza Dabi yoyote ikiwa ya June 15 ita ghairishwa na kusema.

Watapeleka timu uwanjani kama ilivyo pangwa na bodi na ikiwa mchezo huo hautapigwa siku hio basi hawata cheza tena mchezo huo msimu huu.

Kwa sakata jinsi lilivyo na msimamo wa Young Africans Sports Club ulivyo Bado kuna uwezekano mkubwa wa Dabi ya tarehe 15 ikasogezwa mbele ili kupisha tarehe mpya.

Yaliyotokea tarehe 8/3/2025 yanakwenda kutokea tena tarehe 15😄

Tusubiri tuone nguvu ya TFF kwenye hi
FB_IMG_1749781512542.jpg
li🙌🙌🙌
 
Mbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni.

Anachofanya Yanga ni kuusaidia mpira wote. Timu ndogo haziwezi kufanya hiki anachokifanya Yanga, msiunge juhudi kimyakimya, jitokezeni kusema kile ambacho hamridhiki nacho kwenye ligi. Wakati ni huu.
Mmeshalipa madeni ya wachezaji wa kigeni??
 
Timu ndogo zimekuja inbox kunipongeza, wewe tunasema ujinga3. Unadhani Kuna timu inapenda kucheza mechi saa 6 mchana? Simba anabebwa dhidi yao unadhani hawaoni
Itapongezwa na wajinga wenzao wanaodhaminiwa na gsm
 
Back
Top Bottom