Kwa maoni yangu, inaonekana vilabu vingi vipo pamoja na Simba.Mbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni.
Anachofanya Yanga ni kuusaidia mpira wote. Timu ndogo haziwezi kufanya hiki anachokifanya Yanga, msiunge juhudi kimyakimya, jitokezeni kusema kile ambacho hamridhiki nacho kwenye ligi. Wakati ni huu.
Hahahahaha,ukiona mtoto anadeka ujue anastahili kudekaAcheni kudekadeka utopolo
Hahahahaha,sasa mkuu ushasema mbumbumbuMkuu umekuja na wazo zuri sana, sema mbumbumbu watakupiga vita.