Good thinkingMbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni.
Anachofanya Yanga ni kuusaidia mpira wote. Timu ndogo haziwezi kufanya hiki anachokifanya Yanga, msiunge juhudi kimyakimya, jitokezeni kusema kile ambacho hamridhiki nacho kwenye ligi. Wakati ni huu.
unacho kipawa cha......Kwa akili yako unafikiri uto anagombana na TFF? Haya yote yamekuja baada ya Simba kuonyesha ukubwa wake kwa kuikatalia TFF/Bodi ya ligi kwamba hawachezi mechi na TFF/Bodi ya ligi ikafyata mkia jambo la Simba likaenda. Utopolo kwa upande wao nao wanataka kuwaonyesha simba kwamba nao ni wakubwa vile vile.Kasheshe inakuja pale TFF na bodi ya ligi wanapotaka kuwaonyesha uto kwamba hawajafikia levo za ukubwa wa simba.
Swali jepesi; Kama simba isingeivimbia bodi ya ligi na ile dabi ingechezwa tar 8, je utopolo wangeongea haya yote unayoyasikia leo au wangeendelea kuwa na imani na bodi? Akili kumkichwa.
Sasa hiyo ndiyo maana ya ubwela ubaya - mnyama msimu huu ni bingwa iwe kwa pointi za mezani au kwa kumkanda uto. Utopolo asipoingiza timu uwanjani hiyo tar 15 ndio utaijua simba ina nguvu gani na point tatu atapewa. Huu ni mkakati wa ubaya ubwela ndugu, so utopolo anacheza ngoma ya simba.
Kipawa cha nini bosi?unacho kipawa cha......
aKwa akili yako unafikiri uto anagombana na TFF? Haya yote yamekuja baada ya Simba kuonyesha ukubwa wake kwa kuikatalia TFF/Bodi ya ligi kwamba hawachezi mechi na TFF/Bodi ya ligi ikafyata mkia jambo la Simba likaenda. Utopolo kwa upande wao nao wanataka kuwaonyesha simba kwamba nao ni wakubwa vile vile.Kasheshe inakuja pale TFF na bodi ya ligi wanapotaka kuwaonyesha uto kwamba hawajafikia levo za ukubwa wa simba.
Swali jepesi; Kama simba isingeivimbia bodi ya ligi na ile dabi ingechezwa tar 8, je utopolo wangeongea haya yote unayoyasikia leo au wangeendelea kuwa na imani na bodi? Akili kumkichwa.
Sasa hiyo ndiyo maana ya ubwela ubaya - mnyama msimu huu ni bingwa iwe kwa pointi za mezani au kwa kumkanda uto. Utopolo asipoingiza timu uwanjani hiyo tar 15 ndio utaijua simba ina nguvu gani na point tatu atapewa. Huu ni mkakati wa ubaya ubwela ndugu, so utopolo anacheza ngoma ya simba.
Ungesema timu zinazodhaminiwa na jiesiemMbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni.
Anachofanya Yanga ni kuusaidia mpira wote. Timu ndogo haziwezi kufanya hiki anachokifanya Yanga, msiunge juhudi kimyakimya, jitokezeni kusema kile ambacho hamridhiki nacho kwenye ligi. Wakati ni huu.
Timu ndogo zimekuja inbox kunipongeza, wewe tunasema ujinga3. Unadhani Kuna timu inapenda kucheza mechi saa 6 mchana? Simba anabebwa dhidi yao unadhani hawaoniHuwezi kufanya ujinga halafu watu wakuige,wanachofanya yanga ni ujinga tu
#TunapingaMbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni.
Anachofanya Yanga ni kuusaidia mpira wote. Timu ndogo haziwezi kufanya hiki anachokifanya Yanga, msiunge juhudi kimyakimya, jitokezeni kusema kile ambacho hamridhiki nacho kwenye ligi. Wakati ni huu.
Mmeshalipa madeni ya wachezaji wa kigeni??Mbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni.
Anachofanya Yanga ni kuusaidia mpira wote. Timu ndogo haziwezi kufanya hiki anachokifanya Yanga, msiunge juhudi kimyakimya, jitokezeni kusema kile ambacho hamridhiki nacho kwenye ligi. Wakati ni huu.
Itapongezwa na wajinga wenzao wanaodhaminiwa na gsmTimu ndogo zimekuja inbox kunipongeza, wewe tunasema ujinga3. Unadhani Kuna timu inapenda kucheza mechi saa 6 mchana? Simba anabebwa dhidi yao unadhani hawaoni