Timu ndogo ungeni juhudi za Yanga ili mponee hapohapo ugonjwa wenu

Kwa maoni yangu, inaonekana vilabu vingi vipo pamoja na Simba.
 
Mkuu umekuja na wazo zuri sana, sema mbumbumbu watakupiga vita.
Kaka watu waupende mpira wenyewe kwamza kabla ya kuzipenda Simba na Yanga, maana Simba na Yanga ni timu za serikali Kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…