Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

"Daima mbele mwiko nyuma"wabadilishe iwe kwa english ili kuendana na jina la klabu young Africans, halafu na huo Mwenge hautoshi waongeze jembe na nyundo.
Jembe na nyundo tena? Kwani hamjazichoka hizo nyundo? Maana siku hizi majembe yao yanatulima na nyundo zinatushindilia za kichwa aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…