Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wanachukua hadi beki wa timu yetu Simba yule mkenya sasa ndio nini yaani wanaboaKuna ni nini tena?
Weee Onyango?.hhaha kumbe yamekua hayoWanachukua hadi beki wa timu yetu Simba yule mkenya sasa ndio nini yaani wanaboa
Eh kwanini hawatumii nguvu yakutafuta kwa jasho wanacopy Nakupaste??Weee Onyango?.hhaha kumbe yamekua hayo
Wanamchukua onyangooSijaelewa hapa
Mbona dirisha lilishafungwa au unavuta bangi hapo ulipo?Wanamchukua onyangoo
Upo jamani?Kuna ni nini tena?
Mwezi mchanga kwake😁Kuna ni nini tena?
Huyu mtoa mada ameandika ujinga baada ya kuona bondia wake Mwakinyo kapigwa na kusingizia kiatu. Onyango hataki benchi wewe unasingizia Yanga!Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa .
Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu .
Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi nakuwawekea fitina ili wahamie huko.
Kama mnajiamini acheni wachezaji wetu tafuteni wenu na mjiamini.
Namuwape mazoezi yakutosha ili wajue kucheza sio nasio mnahangaika na Simba tu acheni huo ni wizi.
Acheni wizi mbona sisi hatuhangaiki na wakwenu .
Imetosha kwa usumbufu mnaboa jamani.
Kha acheni uboya .
NdioooKwa beki ya mwamnyeto sishangai wakamnyemelea Onyango
Kama wewe ni yanga wewe ni mpuuzi zaidi ya mimi mjinga ukiwa yanga na hizo rangi zenu za mazingira inaonyesha hata akili yako sio yakawaida ni yakipuuzi puuzi tuHuyu mtoa mada ameandika ujinga baada ya kuona bondia wake Mwakinyo kapigwa na kusingizia kiatu. Onyango hataki benchi wewe unasingizia Yanga!
Mwone ndio maana sura yako mbaya kama hiyoo picha hapo wadada wakijua unashangilia timu ya mazingira sio tu unapokea vibuti kila day unablokiwa messanger na whtsupp kitu ni mnyama kazi kunyemela hadi onyango hamna dili nyie acheni kucheza mnaotea otea mechi hamjiamini hata kwa wake zenu hali ndio hii asilimia ya mashabiki wa yanga hata mechi za kirafiki hamuwezi .Hivi wote tukiwa na akili kina nani watashabikia simba kama huyu mtoa uzi?
Nipo jamani upo weye?Upo jamani?
NaamNipo jamani upo weye?