Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kabisa kabisaHasa simba na Yanga hakunaga mbabe kwa mwenzio ni timing tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kabisaHasa simba na Yanga hakunaga mbabe kwa mwenzio ni timing tu
Kwa dirisha lipi? CAF dirisha limeshafungwa na la TFF nalo limshafungwa. Acha habari za vijuweni mnazoongopeanaWanachukua hadi beki wa timu yetu Simba yule mkenya sasa ndio nini yaani wanaboa
Wewee upo serious ??Kwa dirisha lipi? CAF dirisha limeshafungwa na la TFF nalo limshafungwa. Acha habari za vijuweni mnazoongopeana
NdioWewee upo serious ??
Haya sawaNdio
Maana yake funguka mafumbo ya nini??kayaman na kaya zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha yani hutaki ujinga kabisa umekuja kama Simba jike mwenye njaa yoyote mbele yako unamuuma Aaaaaaaaaghrrrrr. Simba nguvu mojaMaana yake funguka mafumbo ya nini??
Nyinyi Yanga mnaiba iba sana wachezaji wetu kwa njia za kishirikina. Kiukweli hatupendi hili jambo liendelee.Kuna ni nini tena?
Sio kifedha tena?Nyinyi Yanga mnaiba iba sana wachezaji wetu kwa njia za kishirikina. Kiukweli hatupendi hili jambo liendelee.
Acheni kutumia nguvu za kishirikina bhana kuiba wachezaji wetu. Mnatuonea sana sisi simba.Nini kimekukuta ndugu
Siyo fedha tena. Kwa sasa Yanga mnatumia ushirikina kutuibia wachezaji wetu. Yaani naungana kabisa na mtoa mada kukemea hili jambo.Sio kifedha tena?
Ww huyooo umekua SimbaSiyo fedha tena. Kwa sasa Yanga mnatumia ushirikina kutuibia wachezaji wetu. Yaani naungana kabisa na mtoa mada kukemea hili jambo.
Yanga acheni kutuibia wachezaji wetu kwa njia za kishirikina.
Waambie hebu maana naonekana mi mwongoSiyo fedha tena. Kwa sasa Yanga mnatumia ushirikina kutuibia wachezaji wetu. Yaani naungana kabisa na mtoa mada kukemea hili jambo.
Yanga acheni kutuibia wachezaji wetu kwa njia za kishirikina.