Timu ya Yanga hawajiamini

Timu ya Yanga hawajiamini

mtoa mada ebu poa kidigo alafu kunywa maji ya kutosha alafu uvute punzi nyingi kisha tuli kidogo.
haya tuendelee ulikua wasemaje??.
 
Sio kifedha tena?
Siyo fedha tena. Kwa sasa Yanga mnatumia ushirikina kutuibia wachezaji wetu. Yaani naungana kabisa na mtoa mada kukemea hili jambo.

Yanga acheni kutuibia wachezaji wetu kwa njia za kishirikina.
 
Ww huyooo umekua Simba
 
Siyo fedha tena. Kwa sasa Yanga mnatumia ushirikina kutuibia wachezaji wetu. Yaani naungana kabisa na mtoa mada kukemea hili jambo.

Yanga acheni kutuibia wachezaji wetu kwa njia za kishirikina.
Waambie hebu maana naonekana mi mwongo
 
Back
Top Bottom