Timu ya Yanga hawajiamini

Timu ya Yanga hawajiamini

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa.
Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu .

Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi nakuwawekea fitina ili wahamie huko.

Kama mnajiamini acheni wachezaji wetu tafuteni wenu na mjiamini.
Namuwape mazoezi yakutosha ili wajue kucheza sio nasio mnahangaika na Simba tu acheni huo ni wizi.

Acheni wizi mbona sisi hatuhangaiki na wakwenu

Imetosha kwa usumbufu mnaboa jamani.

Kha acheni uboya .
 
Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa .
Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu .

Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi nakuwawekea fitina ili wahamie huko.

Kama mnajiamini acheni wachezaji wetu tafuteni wenu na mjiamini.
Namuwape mazoezi yakutosha ili wajue kucheza sio nasio mnahangaika na Simba tu acheni huo ni wizi.

Acheni wizi mbona sisi hatuhangaiki na wakwenu .
Imetosha kwa usumbufu mnaboa jamani.

Kha acheni uboya .
Huyu mtoa mada ameandika ujinga baada ya kuona bondia wake Mwakinyo kapigwa na kusingizia kiatu. Onyango hataki benchi wewe unasingizia Yanga!
 
Huyu mtoa mada ameandika ujinga baada ya kuona bondia wake Mwakinyo kapigwa na kusingizia kiatu. Onyango hataki benchi wewe unasingizia Yanga!
Kama wewe ni yanga wewe ni mpuuzi zaidi ya mimi mjinga ukiwa yanga na hizo rangi zenu za mazingira inaonyesha hata akili yako sio yakawaida ni yakipuuzi puuzi tu
 
Hivi wote tukiwa na akili kina nani watashabikia simba kama huyu mtoa uzi?
Mwone ndio maana sura yako mbaya kama hiyoo picha hapo wadada wakijua unashangilia timu ya mazingira sio tu unapokea vibuti kila day unablokiwa messanger na whtsupp kitu ni mnyama kazi kunyemela hadi onyango hamna dili nyie acheni kucheza mnaotea otea mechi hamjiamini hata kwa wake zenu hali ndio hii asilimia ya mashabiki wa yanga hata mechi za kirafiki hamuwezi .
Mnaishia kwa kuota ota waone 🤮😀😀😀 aibu nyie nguvu za kiume mnazitolea wapi kazi kupiga pamba tu ila mkikaribishwa kwa shoo mnakimbia watu wasimba sasa wanaoshabikia KING OF THE JUNGLE Simba wako ni fire .
 
Back
Top Bottom