Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Muda utaongeaLabda mtachukua kombe linalo funikwa mwanaharamu apite ila la league nehi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda utaongeaLabda mtachukua kombe linalo funikwa mwanaharamu apite ila la league nehi
Acha wanasimba watapike nyongo ni ujinga una striker bocco age 36 kagere 35 wawa beki35 then wanaanza first eleven unaona kabasa wanavo hangaika akili zinataka miili inakataa kwa nini wana simba wasitapike nyongo ? Nahao nimetolea mfano wapo wachezaji wengi ambao wako hoi Bini taabani.Na huo ndio udhaifu wa Management nzima ya Simba haikujipanga vyema wacha wana simba waseme ya moyoniNaona kabisa kwa trend hii tunaenda kupotea. Huu mwendelezo wa kila mtu kulaumu ooh timu mbovu mara wachezaji hawachezi mara sijui Mo kafanyaje kwakweli itenda kutugharimu... kivipi
1) Hii hali inashusha morale ya wachezaji na kujisikia inferior kwa sababu hata sisi tuu tunaowashangilia tunawavunja moyo kwa kuwasema wakikosea kidogo. Mkunbuke ni hawahawa walikuwepo msimu ulopita hao wawili waliouzwa kina Chama hawakuwa wanacheza wenyewe bali ilikua wanacheza as a team hivyo basi tuombe Mungu tupate mwalimu atakae weka formart ya timu vzr.
2) Hii ishu inawapa faida upande wa pili kwa kujiona wao ni unstopable yani wao ni washindi,hii mentality ya kuona kwamba wao mwaka huu kombe ni lao tayari huo ni ushindi tosha. Mind set zao zinajiweka ki ushindi kitu ambacho bado mapema sana kusema wao ni washindi ndo kwaaanza ligi imeanza.
Ushauri wangu kwa wanasimba wenzangu wale tunaopenda timu yetu. Wale tulozaliwa tukajikuta ni Simba yani toka wadogo tunaipenda Simba kwanza tusiache kuipenda timu yetu tuipende mnoooo na tuipende kuliko siku zote, tuwape moyo wachezaji wetu ,tuwaambie wanaweza.
Halafu kingine acheni kuwapa vichwa utopolo kwanini mnawasifia sifia hivyo? Hata kama wana timu nzuri kaeni navyo moyoni huku kudeclare direct kuwa ni wazuri ni failure kubwa kwetu. Mwisho nasema hiviiii Simba tunachukua kombe kwa mara ya tano mfululizo huu uzi mtaufufua mwakani mwisho wa ligi. ...
Alamsiki
Nakubalina na wewe hapo kwa mshambuliaj pekee Ila sehem zingine pako poa tu sio kinyonge ni swala la muda tu.Simba tumesajili vibaya- wachezaji wote wapya- viwango vyao sio vizuri- na wale wa zamani wamechokai- Simba bado inahitaji- kiungo mkabaji- kiungo mshambuliaji- na mshambuliaji- bila kufanya hivyo- Mwaka huu tuta feli kabisa
HahahahaNguvu za kuandika umezipata wapi, wenzio wamelala mapema kwa aibu leo.
From pira biriani to pira bokoboko
Ina ubora upi tena?Simba bado ndio timu bora Tanzania.
Usitishwe na Utopolo wanakutana na timu mbovu. Ukitoa Simba timu bora Tanzania kwa sasa ni Polisi Tz, Biashara na Dodoma jiji.
Subiri uwaone wagosi wa kaya pira tutakalowachezea.
Sio mpaka FA[emoji16][emoji16][emoji16]Katika timu mbovu na wale waliofungwa kwenye ngao ya hisani wamo!
Bata fc acha tuendelee kujifarijiMimi natamani watu wa uto na wale Simba mguu nje ndani waendelee kuwavimbisha uto kuwa wanabeba ubingwa na kuwapa kila sifa ,hii Ina faida Sana kwa Simba.
Simba Mara nyingi anaanza kinyonge sana full presha Ila gari likiwaka linawaka kweli kweli wakat upande wa pili wakiendelea kujiaminisha watakuja pigwa na mbeya city pale sokoine au kule sumbawaga kwa wajera jera ndipo sasa presha itakuwa sehemu yao na msimu kuyoyoma hatmae muda wa kupewa lawama karia na marefa utawadia katika sehemu yake.
Unbeaten haijaanza huu msimu nadhan Ni neno lililozoeleka kwa Wana uto hasa mzunguko wa kwanza ,so sishangai kwa hizi kelele na Tambo za kila namna .
Mahesab mwisho wa msimu ,alafu nilitamani Simba hata huko shirikisho atoke mapema tu ili wajipange upya kupitia ligi kuu ,kusiwe na viporo vya mechi wanavyolalamikia kila kukicha Hawa uto .
Vinahusianaje?Uto wamepiga mpira leo mpaka nikaamini kumbe kweli mbowe sio gaidi.
Wapo vizuri sana
Muandiko wa kiume sana huuNaona kabisa kwa trend hii tunaenda kupotea. Huu mwendelezo wa kila mtu kulaumu ooh timu mbovu mara wachezaji hawachezi mara sijui Mo kafanyaje kwakweli itenda kutugharimu... kivipi
1) Hii hali inashusha morale ya wachezaji na kujisikia inferior kwa sababu hata sisi tuu tunaowashangilia tunawavunja moyo kwa kuwasema wakikosea kidogo. Mkunbuke ni hawahawa walikuwepo msimu ulopita hao wawili waliouzwa kina Chama hawakuwa wanacheza wenyewe bali ilikua wanacheza as a team hivyo basi tuombe Mungu tupate mwalimu atakae weka formart ya timu vzr.
2) Hii ishu inawapa faida upande wa pili kwa kujiona wao ni unstopable yani wao ni washindi,hii mentality ya kuona kwamba wao mwaka huu kombe ni lao tayari huo ni ushindi tosha. Mind set zao zinajiweka ki ushindi kitu ambacho bado mapema sana kusema wao ni washindi ndo kwaaanza ligi imeanza.
Ushauri wangu kwa wanasimba wenzangu wale tunaopenda timu yetu. Wale tulozaliwa tukajikuta ni Simba yani toka wadogo tunaipenda Simba kwanza tusiache kuipenda timu yetu tuipende mnoooo na tuipende kuliko siku zote, tuwape moyo wachezaji wetu ,tuwaambie wanaweza.
Halafu kingine acheni kuwapa vichwa utopolo kwanini mnawasifia sifia hivyo? Hata kama wana timu nzuri kaeni navyo moyoni huku kudeclare direct kuwa ni wazuri ni failure kubwa kwetu. Mwisho nasema hiviiii Simba tunachukua kombe kwa mara ya tano mfululizo huu uzi mtaufufua mwakani mwisho wa ligi. ...
Alamsiki
Vp? Pira mlilowachezeaSimba bado ndio timu bora Tanzania.
Usitishwe na Utopolo wanakutana na timu mbovu. Ukitoa Simba timu bora Tanzania kwa sasa ni Polisi Tz, Biashara na Dodoma jiji.
Subiri uwaone wagosi wa kaya pira tutakalowachezea.