Timu yangu Simba na mashabiki wote

Timu yangu Simba na mashabiki wote

Naona kabisa kwa trend hii tunaenda kupotea. Huu mwendelezo wa kila mtu kulaumu ooh timu mbovu mara wachezaji hawachezi mara sijui Mo kafanyaje kwakweli itenda kutugharimu... kivipi

1) Hii hali inashusha morale ya wachezaji na kujisikia inferior kwa sababu hata sisi tuu tunaowashangilia tunawavunja moyo kwa kuwasema wakikosea kidogo. Mkunbuke ni hawahawa walikuwepo msimu ulopita hao wawili waliouzwa kina Chama hawakuwa wanacheza wenyewe bali ilikua wanacheza as a team hivyo basi tuombe Mungu tupate mwalimu atakae weka formart ya timu vzr.

2) Hii ishu inawapa faida upande wa pili kwa kujiona wao ni unstopable yani wao ni washindi,hii mentality ya kuona kwamba wao mwaka huu kombe ni lao tayari huo ni ushindi tosha. Mind set zao zinajiweka ki ushindi kitu ambacho bado mapema sana kusema wao ni washindi ndo kwaaanza ligi imeanza.

Ushauri wangu kwa wanasimba wenzangu wale tunaopenda timu yetu. Wale tulozaliwa tukajikuta ni Simba yani toka wadogo tunaipenda Simba kwanza tusiache kuipenda timu yetu tuipende mnoooo na tuipende kuliko siku zote, tuwape moyo wachezaji wetu ,tuwaambie wanaweza.

Halafu kingine acheni kuwapa vichwa utopolo kwanini mnawasifia sifia hivyo? Hata kama wana timu nzuri kaeni navyo moyoni huku kudeclare direct kuwa ni wazuri ni failure kubwa kwetu. Mwisho nasema hiviiii Simba tunachukua kombe kwa mara ya tano mfululizo huu uzi mtaufufua mwakani mwisho wa ligi. ...
Alamsiki
Pole sana ndugu yangu Kalpana
 
We utakua mgeni na yanga, yanga hii inayoongoza ligi haina tofauti na ile yanga ya mwaka jana iliyo kaa kileleni kipindi kirefu ikiwa unbeaten

Mpaka hersi kuwaahidi ushindi yanga na kuwahakikishia kua wasipochukua ubingwa aulizwe haikua jambo dogo

Mwanzo wa yanga huwa hautabiriki, ila mwisho wake wote tunaujua
1698512873508.jpg
we hauogopi
 
Uzi Bora kabisa , na mwaka huu msimu huu kombe letu wananchi.
 
Back
Top Bottom