Timu yenu iliyowapa ushujaa imeshuka daraja

Zingine ni stori na mbwembwe za vijiwe vya kahawa tu. Kikubwa watani zetu wametinga fainali. Tuwapongeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa Yanga tupewe ulinzi, 😉😉
 
Simba inajulikana nje ya Afrika kuliko yanga

Zote ni timu za Tanzania nazi support zikicheza continental
.
 
Hebu kua serious kidogo basi mleta mada. Yani wanayanga tuko na uchungu? Kweli kabisa?

Tushinde ligi, tufike fainali huko kimataifa, alafu bado tuwe na uchungu? Makolo si watakua wamezaa tayari!
 
Furaha hailazimishwi ndugu yangu.Mlaumu MO
 
Sasa kwani yanga walipeleka barua caf kuwaomba wapangiwe na marumo? Au huyo marumo nafasi ya kucheza caf wameipataje au ligi ya south wanachukua washindi wanne kutoka mwisho? Au wanarusha shilingi hili washiriki wapatikane ? Hapo wazomeeni south africa ligi yao kutoa wawakilishi wabovu wakija uku ni kuwapiga tu akuna namna
 
Aibu naona mie
 
Unaongelea maluzaz tu hao wote.
Ukweli unabaki pale pale kwani ni record ti mu iliyoshuka daraja kufika semi final.

Ndio maana kuna timu ilifika fanal na haisifu.
 
House girl ahheshimiwe, labda kubaka kuku na mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Wafugaji ndo zenu hizo kushindana na mabeberu na majogoo.

Ndio maana unashabikia yanga maana huwezi kufikiria kumfanyia vitendo hivyo Simba
 
Unaongelea maluzaz tu hao wote.
Ukweli unabaki pale pale kwani ni record ti mu iliyoshuka daraja kufika semi final.

Ndio maana kuna timu ilifika fanal na haisifu.
Una maoni gani kwa Kabylie iliyoshiriki robo fainali ya klabu bingwa?
 
Sasa ndio uandike mgazeti wote huu,kwani uongo kuwa jamaa wameshuka daraja,????NI KWELI
 
Mie najua timu zote wamejitahidi mpaka hapo . Acheni fitina halafu mie SIMBA ina mvuto nyie hamna mvuto na t-shirt kama mazingira wai , siwezi shangilia yanga haya iweje timu ya ajabu ajabuwoi
 
Wafugani ndo zenu hizo kushindana na mabeberu na majogoo.

Ndio maana unashabikia yanga maana huwezi kufikiria kumfanyia vitendo hivyo Simba
Unaumiaje sasa, Simba kitu hana buana juzi hapa karambishwa ice cream akatulia utaniambia nini
 
Nipe sababu ya hawa Marumo kushindwa kung'ara endapo wangekuwa kwenye ligi za nchi zingine.
Wameshindwa kung'ara kwenye ligi yao, wakang'arw kwenye ligi nyingine?

Kamfunga huyu, kamfunga yule...ni sawa tu na Yanga, si kawafunga wote kwenye uchochoro aliopitia?

Ebu ongea kwa hizo facts, angalau kwa kuangalia RANKS ndani ya Africa, kisha uziweke hizo timu zote hapa kwa rank zao wakati wanapigwa na Marumo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…