Timu za Afrika zimeonesha Uafrika wetu Kombe la Dunia

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Timu za Afrika kwenye Kombe la dunia zimeonesha tabia zetu halisi kwenye mashindano ya Kombe la dunia.

1. Wachoyo wa kupasiana (ubinafsi)

2. Wazito wa kufanya maamuzi Kwa wakati.

3. Kila anayepata mpira anatamani yeye pekee ndiyo afunge.

4. Uvivu kwenye kukaba adui.

5. Kutokufuatilia kinachoendelea mchezoni.

6. Kukata tamaa mapema

7. Kutokuumia/kujali wanapofungwa.

8. Siyo wapambania haki zao uwanjani bali hulalamika baada ya mechi nje ya uwanja.
 
Mlifikiri Trump alivyosema: waafrika ni ass hole/shit hole alikosea?
 
Ajabu ni kwamba wanacheza Ulaya tena kwenye ligi kubwa zenye heshima Tu, Makocha wetu hawa nao wako too slow kufanya maamuzi, hivi ni makocha kweli au tunapeana Tu hizi kazi?... Angalia timu kama Cape Verde wale Jamaa wanaajitoa kweli kweli licha ya kuwa Wana wachezaji wa daraja ambalo ni la chini ukilinganisha na timu za Afrika nyingine world cup but unaona kabisa Dhamira wanayo, Morocco wanacheza utafikiri ndio mechi ya mwisho...Sisi weusi nahisi tuna matatizo ya asili ya ubongo.
 
Vipi kuhusu Tunisia, Uholanzi, Scotland, Japan, South Korea, Germany, Uruguay
Kulaumu ni kazi rahisi sana
 
Hao uliowataja Wana matatizo Yao ambayo ni tofauti kabisa na ya kwetu, ni sawa na mwanao kapata four but unamlinganisha na watoto wa wazazi wengine kuwa mbona wao pia wamepata four so fresh tu, huko ni kukimbia responsibilities..Tutachoka akili kama tukianza kuchambua hizo timu ulizotaja kwanini zimetoka, sababu zao na zetu ni tofauti kabisa
 
Kodivwaa wawekwe hapa 🗑️ since game ya Germany, Africa inaweza kushindana na wazungu kwenye upuuzi tu, at least Arabs wanajitutumua kuficha ujinga wa kiafrika.
 
Back
Top Bottom