Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Tatizo zimetoka kwa madhaifu yanayofanana .Vipi kuhusu Tunisia, Uholanzi, Scotland, Japan, South Korea, Germany, Uruguay
Kulaumu ni kazi rahisi sana
Tatizo zimetoka kwa madhaifu yanayofanana .Vipi kuhusu Tunisia, Uholanzi, Scotland, Japan, South Korea, Germany, Uruguay
Kulaumu ni kazi rahisi sana
Hili nalo neno😀😃Kama Ivory Coast ya kina Drogba, Didier Zokora, Toure Brothers, Gervinho na Solomon Kalou haikufanya la maana world cup tusitegemee hawa waliopo.
Kikosi kilikuwa na mastaa watupu ambao hawakosi namba first eleven za kwenye clubs zao ila kwenye timu ya taifa walikuwa wapuuzi sana.Hili nalo neno😀😃
Tatizo letu ni kukosa uzalendo! Hatujisikii mzigo wa jukumu la kuziqakilisha nchi zetu kwenye jukwaa la kudunia! Utaliona hilo kuanzia kwenye kuimba wimbo q Taifa! Utakuta wachezaji hawaimbi kabisa! na wale wachache wanaoimba hawafanyi hivyo kwa hisia! Hata huko kwenye FOOTBALL ACADEMY zetu hapa afrika some la uzalendo hakuna!! Bila uzalendo usitegemee mtu ataweza kuifia nchi yake uwanjani.Ajabu ni kwamba wanacheza Ulaya tena kwenye ligi kubwa zenye heshima Tu, Makocha wetu hawa nao wako too slow kufanya maamuzi, hivi ni makocha kweli au tunapeana Tu hizi kazi?... Angalia timu kama Cape Verde wale Jamaa wanaajitoa kweli kweli licha ya kuwa Wana wachezaji wa daraja ambalo ni la chini ukilinganisha na timu za Afrika nyingine world cup but unaona kabisa Dhamira wanayo, Morocco wanacheza utafikiri ndio mechi ya mwisho...Sisi weusi nahisi tuna matatizo ya asili ya ubongo.
Sina cha kuongezea!!Kwa waafrika wachezaji wanang'ara zaidi kwenye klabu zao kuliko kwenye nchi zao. Kwa wenzetu ni tofauti!
Ni Mabara mangapi yameshiriki kwenye haya mashindano? Mbona Bara la Asia timu zake zote zimetolewa, lakini lawama nyingi zinapelekwa kwa timu za Afrika?Timu za Afrika kwenye Kombe la dunia zimeonesha tabia zetu halisi kwenye mashindano ya Kombe la dunia.
1. Wachoyo wa kupasiana (ubinafsi)
2. Wazito wa kufanya maamuzi Kwa wakati.
3. Kila anayepata mpira anatamani yeye pekee ndiyo afunge.
4. Uvivu kwenye kukaba adui.
5. Kutokufuatilia kinachoendelea mchezoni.
6. Kukata tamaa mapema
7. Kutokuumia/kujali wanapofungwa.
8. Siyo wapambania haki zao uwanjani bali hulalamika baada ya mechi nje ya uwanja.
Naomba mseme muwezavyo, ila Cabo Verde mtutoe kabisaTimu za Afrika kwenye Kombe la dunia zimeonesha tabia zetu halisi kwenye mashindano ya Kombe la dunia.
1. Wachoyo wa kupasiana (ubinafsi)
2. Wazito wa kufanya maamuzi Kwa wakati.
3. Kila anayepata mpira anatamani yeye pekee ndiyo afunge.
4. Uvivu kwenye kukaba adui.
5. Kutokufuatilia kinachoendelea mchezoni.
6. Kukata tamaa mapema
7. Kutokuumia/kujali wanapofungwa.
8. Siyo wapambania haki zao uwanjani bali hulalamika baada ya mechi nje ya uwanja.
Timu za Afrika zinarudia kufanya makosa mpaka yale ambayo hayatakiwi kuwa makosa.Ni Mabara mangapi yameshiriki kwenye haya mashindano? Mbona Bara la Asia timu zake zote zimetolewa, lakini lawama nyingi zinapelekwa kwa timu za Afrika?
Huu ndiyo mpira wa miguu. Unahitaji maandalizi kabambe! Lakini pia pale upofanya makosa unaadhibiwa.
Mama yako samia huwa anajiona yupo sahihi kwa kila kitu na hamupendi akosoleweTimu za Afrika zinarudia kufanya makosa mpaka yale ambayo hayatakiwi kuwa makosa.
Akosolewe kwa staha mkuu.Mama yako samia huwa anajiona yupo sahihi kwa kila kitu na hamupendi akosolewe
Tukubali kuwa ni laana tu hiiiKama Ivory Coast ya kina Drogba, Didier Zokora, Toure Brothers, Gervinho na Solomon Kalou haikufanya la maana world cup tusitegemee hawa waliopo.
Mtu anapokuwa fisadi akosolewe kwa staha?Akosolewe kwa staha mkuu.
Matusi hayajengi ; twende hoja kwa hoja sio kukashifiana haina afya kwa Taifa letu.