Timu za Afrika zimeonesha Uafrika wetu Kombe la Dunia

Tatizo letu ni kukosa uzalendo! Hatujisikii mzigo wa jukumu la kuziqakilisha nchi zetu kwenye jukwaa la kudunia! Utaliona hilo kuanzia kwenye kuimba wimbo q Taifa! Utakuta wachezaji hawaimbi kabisa! na wale wachache wanaoimba hawafanyi hivyo kwa hisia! Hata huko kwenye FOOTBALL ACADEMY zetu hapa afrika some la uzalendo hakuna!! Bila uzalendo usitegemee mtu ataweza kuifia nchi yake uwanjani.
Kwa waafrika wachezaji wanang'ara zaidi kwenye klabu zao kuliko kwenye nchi zao. Kwa wenzetu ni tofauti!
 
Ni Mabara mangapi yameshiriki kwenye haya mashindano? Mbona Bara la Asia timu zake zote zimetolewa, lakini lawama nyingi zinapelekwa kwa timu za Afrika?

Huu ndiyo mpira wa miguu. Unahitaji maandalizi kabambe! Lakini pia pale upofanya makosa unaadhibiwa.
 
Naomba mseme muwezavyo, ila Cabo Verde mtutoe kabisa
 
Timu za Afrika zinarudia kufanya makosa mpaka yale ambayo hayatakiwi kuwa makosa.
 
Mama yako samia huwa anajiona yupo sahihi kwa kila kitu na hamupendi akosolewe
Akosolewe kwa staha mkuu.

Matusi hayajengi ; twende hoja kwa hoja sio kukashifiana haina afya kwa Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…