Timu za DRC ziko hoi taabani: TP Mazembe inashika mkia kwenye kundi lake huko shirikisho na Vita inashika mkia kwenye kundi lake caf champions!

Timu za DRC ziko hoi taabani: TP Mazembe inashika mkia kwenye kundi lake huko shirikisho na Vita inashika mkia kwenye kundi lake caf champions!

Ligi ya drc,linafoot imesimama muda tu,kwa sababu za kisiasa

Hizo timu zote zinakosa match fitness,wanacheza mechi za kimataifa tu

Kingine siasa ya drc ,maana hizo timu nyuma yake zina wanasiasa.

Mfn,tp mazembe na katumbi
lupopo ni timu ya serikali shirika la reli congo
as vita ni ya kamanda tango four
 
Back
Top Bottom