Hata shule mbovu hutoa wanafunzi Bora,huwezi linganisha mbungi ya Leicester city vs wolves na Valencia vs getafe mzee,michuano ya ulaya ni mtoano na si league,mtoano una mbinu zakeHndo ubishi wa ligi bora ni ipi kati ya Laliga,epl,Bundasliga na ligi zingine za Ulaya huko.
Barca,R.Madrid,Bayern nawapa nafasi kubwa ya kufika nusu.
sawa mkuu umeleta fact moja kali sana.Hata shule mbovu hutoa wanafunzi Bora,huwezi linganisha mbungi ya Leicester city vs wolves na Valencia vs getafe mzee,michuano ya ulaya ni mtoano na si league,mtoano una mbinu zake
Ndiyo ukweli mzee,game za epl utaangalia game tamu,lakini la Liga kunaboa mzee,hata serie a siku hizi I a game tight kuliko la Ligasawa mkuu umeleta fact moja kali sana.
Ila kiukweli wafuasi wa epl mnajuaga kujeteteaππ
Umewasahau napolihapo ndo ubishi wa ligi bora ni ipi kati ya Laliga,epl,Bundasliga na ligi zingine za Ulaya huko.
Barca,R.Madrid,Bayern nawapa nafasi kubwa ya kufika nusu.
Manchester uNited wanacheza na dunia nzima ina furahaMan U anapita leo
Manchester uNited wanacheza na dunia nzima ina furahaMan U anapita leo
Ukweli ni upi?Si kweli.
Kwahio unataka kusema timu za Spain zimebobea mechi za mitoano? ukitaka kuona show mpeleke Leicester akipige na Valencia utajua Laliga mpira ndio nyumbani kwaoHata shule mbovu hutoa wanafunzi Bora,huwezi linganisha mbungi ya Leicester city vs wolves na Valencia vs getafe mzee,michuano ya ulaya ni mtoano na si league,mtoano una mbinu zake
itakua huangalii hata hiyo la Liga yenyewe,ajax alimtoa Madrid,Dortmund alipiga 7 Madrid Bayern akapiga 8 Barcelona,unamaanisha ligi za uholanzi na bundes Liga zilikua Bora kuliko la Liga!?..juzi tu hapa Liverpool alipindua meza kwa Barcelona,alipiga nne imaraKwahio unataka kusema timu za Spain zimebobea mechi za mitoano? ukitaka kuona show mpeleke Leicester akipige na Valencia utajua Laliga mpira ndio nyumbani kwao
Napoli kama Arsenal tu kuna muda full chaji kuna muda betri low.Umewasahau napoli
Napendaga ile slogan ya mashabiki wa Man Ut huku JF utasikia
Wewe kipimo chako ni Nini mkuu?kwaio mkuu kipimo chako wewe ni ligi ipi imeingiza timu nyingi mtoano?
πππ Mkuu allypipi na slogan yake.. kabla ya gemu lazima nipite uzi wetu pendwaaa nikasome hii commentπππNapendaga ile slogan ya mashabiki wa Man Ut huku JF utasikia
"Leo nimepita mjini nakuta kila mtu ana furaha isiyo kifani, nikawauliza kuna nini?
Wanasema Manchester United inacheza na dunia nzima ina furaha.
Uko sahihi kiongozi wanguSpurs na man city hapo wanatoboa ....
Timu yeyote iliyowekeza vizuri kipesa na kiuchezaji yaweza kuwa timu bora katika mashindano yeyote.Ukweli ni upi?
Sawa, kule kuna mikakati zaidi.Hata shule mbovu hutoa wanafunzi Bora,huwezi linganisha mbungi ya Leicester city vs wolves na Valencia vs getafe mzee,michuano ya ulaya ni mtoano na si league,mtoano una mbinu zake