Timu za EPL zitaweza kutoboa ulaya msimu huu?

Hndo ubishi wa ligi bora ni ipi kati ya Laliga,epl,Bundasliga na ligi zingine za Ulaya huko.
Barca,R.Madrid,Bayern nawapa nafasi kubwa ya kufika nusu.
Hata shule mbovu hutoa wanafunzi Bora,huwezi linganisha mbungi ya Leicester city vs wolves na Valencia vs getafe mzee,michuano ya ulaya ni mtoano na si league,mtoano una mbinu zake
 
Kwahio unataka kusema timu za Spain zimebobea mechi za mitoano? ukitaka kuona show mpeleke Leicester akipige na Valencia utajua Laliga mpira ndio nyumbani kwao
 
itakua huangalii hata hiyo la Liga yenyewe,ajax alimtoa Madrid,Dortmund alipiga 7 Madrid Bayern akapiga 8 Barcelona,unamaanisha ligi za uholanzi na bundes Liga zilikua Bora kuliko la Liga!?..juzi tu hapa Liverpool alipindua meza kwa Barcelona,alipiga nne imara
 
Napendaga ile slogan ya mashabiki wa Man Ut huku JF utasikia
"Leo nimepita mjini nakuta kila mtu ana furaha isiyo kifani, nikawauliza kuna nini?
Wanasema Manchester United inacheza na dunia nzima ina furaha.
😂😂😂 Mkuu allypipi na slogan yake.. kabla ya gemu lazima nipite uzi wetu pendwaaa nikasome hii comment😂😂😂
 
Hata shule mbovu hutoa wanafunzi Bora,huwezi linganisha mbungi ya Leicester city vs wolves na Valencia vs getafe mzee,michuano ya ulaya ni mtoano na si league,mtoano una mbinu zake
Sawa, kule kuna mikakati zaidi.
 
Back
Top Bottom