Shida sio kusajili kwa kuangalia Eneo ila sema tunapenda shortcut.... Hata hapa Tanzania kuna vipaji vingi tu vya mpira ila Tatizo hatuthamini vya kwetu Mchezaji wa Ndani akisajiliwa kila mtu anakuwa na mashaka naye na hat wengne huwa hawana namba za uhakka,
Ila akisajiliwa mchezaji wa nje ya mipaka hata kam hatujawahi kumuona hat siku moja basi tunaamin anajua mpira,
Vilabu vya ndani viunde programm zenye userious achana na hizi under twenti za mchongo, kwa kuanzia hizo programm ziwe zinaandaa Tournaments zinazohusisha shule za sekondari na zinachukua vijana kutoka kwenye hayo mashindano,
Hii itasaidia pia kupata vijana wenye umri mdogo kweli pasipo kudanganyana,... Lakin pia hao vijana wakishapatikana wawekwe kambi moja alafu yafanyike yafuatayo...
1. walishwe vizuri
2. Wapigishwe Gym ili wapate physique body nzuri
3. Wafundishe skills zote za mpira ikiwemo shooting,passing,goolkeeping skills etc....
Hii itasaidia kupata timu bora za vilabu na Timu ya taifa pia.... Hata hivyo itasaidia san kukuza uchumi wa timu zetu maan watakuwa wametumia gharama ndogo kuwatengeneza wachezaji hao na wanaweza kuwauza kwa gharama kubwa sana maan pia watakuwa na umri mdogo na wana vipaji pia.