Timu za majeshi kwa yanga wanapokea amri hakuna cha ajabu yanga kushinda!

Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Ndugu kipara kipya naomba nywele zikiota usinyoe tena kwa sababu unathibitisha ule msemo wa wahenga kwa usahihi.
 
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Bado aujasema na utasemaa,,na bado amjamtaja gsm anaharibu ligi vijana wa mangungu!
 
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Vipi na wao wamehonga goli lao la 2?
 
wao wapata penati kila mechi sisi hatusemi. yule fowad wao Ateba magoli yote ya penati. tusipoangalia anaweza kuwa mfungaji bora kupitia magoli ya penati
Kuna siku penalty azitopatikana labda Tatu malogo awe anachezesha mechi zao
 
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Watu wenye vipara mara nyingi hawana akili hata kidogo
 
Na Bado hamjasema fala nyie kwanza umesahau na kibwagizo chenu GSM anaharibu ligi.
 
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Kwa iyo unataka kusema mpira umechezea chumbani na sio uwanjani mkuu
 
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Tulia kolo,umesahau refa alivyo wabeba na mashujaa Lake Tanganyika?umesahau gemu yenu na Azam kule zenji?Gemu yenu na Dodoma Jiji pamoja pamba ilikuwaje?
 
Hivi kwa mawazo kama hayo siamini hata kama familia yako inastahili kujivunia kuwa ina kiongozi madhubuti 😂😂😂 naipa pole sana familia yako ,,nayasema haya kwa kuwa sijawahi kuona andiko au waraka unataka kuwa timu hii ifungwe magoli ya aina hii ,,jitahidi kukua kimawazo
 
Umeumia sana kuhusu haya maandish!i
 
Tulia kolo,umesahau refa alivyo wabeba na mashujaa Lake Tanganyika?umesahau gemu yenu na Azam kule zenji?Gemu yenu na Dodoma Jiji pamoja pamba ilikuwaje?
Hapa mada sio refa mada ni maelekezo ya kuachiwa!
 
Back
Top Bottom