Timu za majeshi kwa yanga wanapokea amri hakuna cha ajabu yanga kushinda!

Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Sasa ktk misimu hii miwili timu za jeshi na nyie Kolo FC mnatofauti gani au na nyie mnapewa amri ushagongwa na Yanga mara nne mfululizo.
 
Nyie biashara mnayofanya na marefa kuwapa penalty na magori ya mchongo amuioni?
Hapa tunazungumzia timu sio refa kama ni refa jana kawanyonga sana mashujaa walikuwa wakifanyiwa faulo anapeta ila yanga wakiguswa tu inawekwa fikiria kama wange guswa ndani ya box ingekuwa vipi!
 
Sasa ktk misimu hii miwili timu za jeshi na nyie Kolo FC mnatofauti gani au na nyie mnapewa amri ushagongwa na Yanga mara nne mfululizo.
JIbril sila na chikolaa huwa hawana maelekezo!
 
Hapa tunazungumzia timu sio refa kama ni refa jana kawanyonga sana mashujaa walikuwa wakifanyiwa faulo anapeta ila yanga wakiguswa tu inawekwa fikiria kama wange guswa ndani ya box ingekuwa vipi!
Kama ni timu basi anza na timu yenu mbona uwa mnapokea maelekezo Kila mkikutana na yanga,,mnataka Simba peke yake ndio awe anapokea maelekezo wengine wakipokea mnapata wivu
 
Hivi simba ni timu ya JESHI? Mbona imefungwa mara nyingi na Yanga. Kila mtu alikua akiicheka yanga mkasahau kujipanga sasa geukeni nyuma wanawapumulia kisogoni kwenye msimamo
 
Unamzungumzia ramadhani kayoko!
 
Timu zote jana zilicheza vzr, kilichoamua matokeo ni madaraja ya timu, yanga ni kubwa kuliko mashujaa (classes).
 
Yanga kubwa kiumri sio mpira kwa kipindi hiki cha miezi miwili!
 
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
CCM imechangia kuzalisha kizazi mataahira
 
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Hivi nikuchagulie tusi gani kati ya haya
1. Mbwa
2. Mbumbumbu
3. Tumbafu
4. Mkia
 
Back
Top Bottom