kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ndugu kipara kipya naomba nywele zikiota usinyoe tena kwa sababu unathibitisha ule msemo wa wahenga kwa usahihi.Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Bado aujasema na utasemaa,,na bado amjamtaja gsm anaharibu ligi vijana wa mangungu!Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Vipi na wao wamehonga goli lao la 2?Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Kuna siku penalty azitopatikana labda Tatu malogo awe anachezesha mechi zaowao wapata penati kila mechi sisi hatusemi. yule fowad wao Ateba magoli yote ya penati. tusipoangalia anaweza kuwa mfungaji bora kupitia magoli ya penati
Watu wenye vipara mara nyingi hawana akili hata kidogoHizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Wewe hukuona sheikh!Sawa ! Na wewe nenda kafunge magoli rahisi ! Wewe ukishinda umeshinda kihalali lakini wenzako wakishinda ni magoli ya mchongo !! Duu ! Baado hamjasema
Kwa iyo unataka kusema mpira umechezea chumbani na sio uwanjani mkuuHizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Tulia kolo,umesahau refa alivyo wabeba na mashujaa Lake Tanganyika?umesahau gemu yenu na Azam kule zenji?Gemu yenu na Dodoma Jiji pamoja pamba ilikuwaje?Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Hivi kwa mawazo kama hayo siamini hata kama familia yako inastahili kujivunia kuwa ina kiongozi madhubuti πππ naipa pole sana familia yako ,,nayasema haya kwa kuwa sijawahi kuona andiko au waraka unataka kuwa timu hii ifungwe magoli ya aina hii ,,jitahidi kukua kimawazoHizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Umeumia sana kuhusu haya maandish!iHivi kwa mawazo kama hayo siamini hata kama familia yako inastahili kujivunia kuwa ina kiongozi madhubuti πππ naipa pole sana familia yako ,,nayasema haya kwa kuwa sijawahi kuona andiko au waraka unataka kuwa timu hii ifungwe magoli ya aina hii ,,jitahidi kukua kimawazo
Hapa mada sio refa mada ni maelekezo ya kuachiwa!Tulia kolo,umesahau refa alivyo wabeba na mashujaa Lake Tanganyika?umesahau gemu yenu na Azam kule zenji?Gemu yenu na Dodoma Jiji pamoja pamba ilikuwaje?
Ndio maana tumeona magoli ya mchongo!Kwa iyo unataka kusema mpira umechezea chumbani na sio uwanjani mkuu