Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba.
Mwingine jana usiku kazindua vitenge yaani mijezi imezubaa haina muonekano aisee. Kweli nilikua sahihi kushabikia FC BARCELONA NA LIVERPOOL FC timu Bora mpaka jezi milele.
Yaani mpira wa Bongo ni takataka mpaka mijezi yao ni ya hovyo na ukifuatilia wanaonunua hayo majezi ni washamba Fulani hivi yaani tangia wazaliwe mpaka Leo hawajawahi kujitenganisha na ushamba siwezi toa hela yangu nikanunua hayo matambara ya simba na Yanga kweli nyani ni nyani tu wajinga ndio waliwao.