Timu za Tanzania jezi zao ni uchafu

Timu za Tanzania jezi zao ni uchafu

jezi ya simba nzuri ile nyeupe na yanga ile yenye michoro ya mikono nikipata za aftatu nitanunua zote mbili ila neno sanda naliziba ni ujanja ujanja wamefanya
 
Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba.

Mwingine jana usiku kazindua vitenge yaani mijezi imezubaa haina muonekano aisee. Kweli nilikua sahihi kushabikia FC BARCELONA NA LIVERPOOL FC timu Bora mpaka jezi milele.

Yaani mpira wa Bongo ni takataka mpaka mijezi yao ni ya hovyo na ukifuatilia wanaonunua hayo majezi ni washamba Fulani hivi yaani tangia wazaliwe mpaka Leo hawajawahi kujitenganisha na ushamba siwezi toa hela yangu nikanunua hayo matambara ya simba na Yanga kweli nyani ni nyani tu.
Mtumwa wa uzungu, mpuuzi wewe.
 
Back
Top Bottom