Timu za Tanzania jezi zao ni uchafu

Timu za Tanzania jezi zao ni uchafu

Jezi ikishakuwa na madude madude tu tayari inakuwa sio jezi tena.

Jezi nyeupe ya simba nzuri.

Ila za Yanga hapana Jezi kama batiki.
 
Mkuu kiukweli kuwa nawachezaji zaidi ya nane wapya kwenye kikosi inahitajika mda ili wajipate, simba inahitaji subra kuliko Wakati mwingine wowote.
Naunga mkono hoja mkuu sema wakijipanga fresh wanacheza vizuri tu
 
Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba.

Mwingine jana usiku kazindua vitenge yaani mijezi imezubaa haina muonekano aisee. Kweli nilikua sahii kushabikia FC BARCELONA NA LIVERPOOL FC timu Bora mpaka jezi milele.

Yaani mpira wa Bongo mbovu mpaka mijezi ya hovyo na ukifuatilia wanaonunua hayo majezi ni washamba Fulani hivi yaani tangia wazaliwe mpaka Leo hawajawahi kujitenganisha na ushamba siwezi toa hela yangu nikanunua hayo matambara ya simba na Yanga kweli nyani ni nyani tu.
Ndugu yangu hujaishi vijijini. Kijijini MTU hanunui nguo mpaka iwe imeng'aa. Jezi zinatengenezwa kutokana na matakwa ya wavaaji.
 
Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba.

Mwingine jana usiku kazindua vitenge yaani mijezi imezubaa haina muonekano aisee. Kweli nilikua sahihi kushabikia FC BARCELONA NA LIVERPOOL FC timu Bora mpaka jezi milele.

Yaani mpira wa Bongo ni takataka mpaka mijezi yao ni ya hovyo na ukifuatilia wanaonunua hayo majezi ni washamba Fulani hivi yaani tangia wazaliwe mpaka Leo hawajawahi kujitenganisha na ushamba siwezi toa hela yangu nikanunua hayo matambara ya simba na Yanga kweli nyani ni nyani tu wajinga ndio waliwao.
🤣 🤣 🤣
Punguza chuki na makasiriko Mkuu shida yako nini? Nyuzi zako zote huwa unaziandika kwa hisia sana. Relax
 
Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba.

Mwingine jana usiku kazindua vitenge yaani mijezi imezubaa haina muonekano aisee. Kweli nilikua sahihi kushabikia FC BARCELONA NA LIVERPOOL FC timu Bora mpaka jezi milele.

Yaani mpira wa Bongo ni takataka mpaka mijezi yao ni ya hovyo na ukifuatilia wanaonunua hayo majezi ni washamba Fulani hivi yaani tangia wazaliwe mpaka Leo hawajawahi kujitenganisha na ushamba siwezi toa hela yangu nikanunua hayo matambara ya simba na Yanga kweli nyani ni nyani tu wajinga ndio waliwao.
Mkuu fungasha virago ukaishi huko kwa wajanja utuachie nchi yetu.
 
Back
Top Bottom