Timu za Tanzania jezi zao ni uchafu

😁nyuzi kama hizi huwa zinawaunganisha mashabiki wa simba na yanga pamoja.

Leta mada ya kumsema mmoja sasa, mfano iponde jezi ya mmoja wao uone wanavyochuana vita humu.
 
Upo sahihi naunga mkono hoja huyu na ana kaaa kwa dada yake pia
 
Mkuu timu za Ulaya na baadhi za timu za Afrika jezi zao zinatengenezwa na Makampuni makubwa ya vifaa vya michezo mfano Nike, Adidas, Puma, ndiyo maana jezi zao nzuri, mfano tu angalia jezi za Alhly, Zamaleki za Misri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…