Timu za Tanzania jezi zao ni uchafu

Jezi ikishakuwa na madude madude tu tayari inakuwa sio jezi tena.

Jezi nyeupe ya simba nzuri.

Ila za Yanga hapana Jezi kama batiki.
 
Mkuu kiukweli kuwa nawachezaji zaidi ya nane wapya kwenye kikosi inahitajika mda ili wajipate, simba inahitaji subra kuliko Wakati mwingine wowote.
Naunga mkono hoja mkuu sema wakijipanga fresh wanacheza vizuri tu
 
Ndugu yangu hujaishi vijijini. Kijijini MTU hanunui nguo mpaka iwe imeng'aa. Jezi zinatengenezwa kutokana na matakwa ya wavaaji.
 
🤣 🤣 🤣
Punguza chuki na makasiriko Mkuu shida yako nini? Nyuzi zako zote huwa unaziandika kwa hisia sana. Relax
 
Mkuu fungasha virago ukaishi huko kwa wajanja utuachie nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…