Timu za Tanzania jezi zao ni uchafu

Zifue basi.
 
We Ma.ta.ko uchumi wa hivyo virabu uko sawa na uchumi wa vilabu vya Tanzania?
 
Kama jezi za yanga unaita ni batiki na uchafu, je jezi za Chelsea utaziitaje? Bado ni mtumwa wewe wa akili.
Miminimewai letewa jezi ya celtic narafikiyangu og ila ni daraja la tatu nilishangaa uzito wa ile jezi pili ni usd40 sisi shida nikupata material tuu
 
Miminimewai letewa jezi ya celtic narafikiyangu og ila ni daraja la tatu nilishangaa uzito wa ile jezi pili ni usd40 sisi shida nikupata material tuu
Ndio hivyo kaangalie Sasa jezi original namba 1 ya simba au yanga utacheka 🤣🤣🤣🤣
 
Ndio hivyo kaangalie Sasa jezi original namba 1 ya simba au yanga utacheka 🤣🤣🤣🤣
Sisi hapa tunashindwa ku weka oda Adidas nike,au umbro pesa hatuna. Tunamdandia vunjabei ausandaland na sheriangowi wanaenda india kwenye viwandavidogo wanachakacha borahata waende china tu😂
 
Sisi hapa tunashindwa ku weka oda Adidas nike,au umbro pesa hatuna. Tunamdandia vunjabei ausandaland na sheriangowi wanaenda india kwenye viwandavidogo wanachakacha borahata waende china tu😂
Unakuta mtu anasema Uzi mkali hua nakaa nacheka yaani jezi ya simba na yanga original wanavyochezea uwanjani inazidiwa quality na vijezi feki vya timu za ulaya vinavyouzwa hapa bongo 25 aisee
 
Wewe nunua mfano jezi ya Liverpool ya elfu 25 hizi za hapa bongo halafu kalinganishe na jezi ya simba au yanga ambazo zinauzwa elfu 45 utacheka mpaka ufe yaani jezi feki ya timu ya ulaya ni nzito kuzidi wanazoita original ya timu ya bongo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…