Timu zote za mpira lazima zifanye AUDITING ya matumizi yake na haitakuwa hiari

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Timu zetu za mpira zinaongozwa kiujanja ujanja sana sio sawa hata kidogo kidogo

Timu zinasign mikataba ya mabilioni ila wanachama hawaambiwi matumizi-

NIKIWA RAIS KUPITIA BMT NI LAZIMA KWA TIMU ZA LIG KUU NA LIGI DARAJA LA PILI KUFANYA AUDITING NA KUISOMA KWA WANACHAMA WAO NA KUIBANDIKA KWENYE KUTA ZAO ZA MATANGAZO

SIO SAWA HATA KIDOGO ANAIBUKA MTU ANAIDAI TIMU BILA HATA KUONYESHA MATANGAZO YAKE NI SH NGAPI YAMEINGIZIA TIMU NA JE TIMU HAIKUWA NA BETTER DEAL KULIKO LAKE

Lazima huu ukiritimba uondoke ili mpira wetu ukue ni lazima tuacheni na ujanja

HATA TFF LAZIMA HESABU ZAO ZA FEDHA ZIFANYIWE AUDITING NI LAZIMA NA SIO HIARI SABABU VIONGOZI WAMEKUWA WAKITUMIA MPIRA KWA MAMBO YAO MENGINE

Zinaingiza pesa toka kwa wadhamini halafu muwekezaji naye anaongea nyuma ya mikamera kwamba anaidai club husika mabilioni ya pesa bila mtililiko wa kimahesabu
 
Ni uhuni ambao una-lelewa hata kama mtu kaisaidia timu lazima kwenye hesabu zilizofanyiwa auditing ionekane

Ni mda wa kuacha ujanja-ujanja
 
Mkuu, timu ukizibana hivyo imani yangu ni kubwa zitarudi nyuma hasa kwa upande wa udhamini na wawekezaji. Hakuna mwekezaji au mdhamini atakayekubali hii hoja yake,wawekezaji watakimbia,timu zitarudi ktk umaskini,mdororo ktk mashindano ya kimataifa na timu yetu ya taifa itarudi nyuma.

Kwa hiyo nadhani bora kuziacha timu zifanye zinavyoona inafaa kikubwa zisikiuke taratibu,kanuni na sheria za mchezo wa mipira wa miguu na nchi kwa ujumla.
 
Mbona nchi zilizoendelea wameweza kufanya timu zao kuacha ujanjaujanja

Ìle mpira wetu ukue hatutakiwi kuwa na huu ujanja ujanja
 
Simba na yanga ni timu za wanachama sio timu binafsi kama ilivyo azam hili kwanza unalijua
Hizo Simba na Yanga zimesajiliwa na kutambulika kama PLC na kampuni za kibiashara hapa Tanzania? Kama hazijasajiliwa hivyo, sio rahisi kwazo kuzi hold accountable. Labda useme kabla ya kuzitaka zitoe taarifa zake za fedha zisajiliwe kama nilivyoshauri. Hapo zitafanya by enforced by laws not by personal interest!🙏🙏🙏🙏
 
Kama unajua zinaweza kusajiliwa kama PLC HAKUKUA NA HAJA YA KUBISHA

HIZI TIMU MPAKA LEO HAZINA KIWANJA CHA MPIRA NI MATOKEO YA KUENDESHWA KIHUNI NA KIUJANJA-UJANJA
 
Mbona nchi zilizoendelea wameweza kufanya timu zao kuacha ujanjaujanja

Ìle mpira wetu ukue hatutakiwi kuwa na huu ujanja ujanja
Ushasema nchi zilizo endelea, sasa hii inchi yako imeendelea?
Kama alivyo shauri mdau hapo juu, waacheni wafanye wanacho taka ili mradi hawavunji sheria.
Ila kama munataka turudi nyuma, igeni nchi zilizo endelea.
 
Kwani hata muundo wa ligi ya mpira situmewaiga wao au na hili hulijui

Nkuulize swali ni ubinifu gani kwenye mpira umeanzia kwetu
 
Back
Top Bottom