Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Zinaingiza pesa toka kwa wadhamini halafu muwekezaji naye anaongea nyuma ya mikamera kwamba anaidai club husika mabilioni ya pesa bila mtililiko wa kimahesabuTimu zetu za mpira zinaongozwa kiujanja ujanja sana sio sawa hata kidogo kidogo
Timu zinasign mikataba ya mabilioni ila wanachama hawaambiwi matumizi-
NIKIWA RAIS KUPITIA BMT NI LAZIMA KWA TIMU ZA LIG KUU NA LIGI DARAJA LA PILI KUFANYA AUDITING NA KUISOMA KWA WANACHAMA WAO NA KUIBANDIKA KWENYE KUTA ZAO ZA MATANGAZO
SIO SAWA HATA KIDOGO ANAIBUKA MTU ANAIDAI TIMU BILA HATA KUONYESHA MATANGAZO YAKE NI SH NGAPI YAMEINGIZIA TIMU NA JE TIMU HAIKUWA NA BETTER DEAL KULIKO LAKE
Lazima huu ukiritimba uondoke ili mpira wetu ukue ni lazima tuacheni na ujanja
HATA TFF LAZIMA HESABU ZAO ZA FEDHA ZIFANYIWE AUDITING NI LAZIMA NA SIO HIARI SABABU VIONGOZI WAMEKUWA WAKITUMIA MPIRA KWA MAMBO YAO MENGINE
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Ni uhuni ambao una-lelewa hata kama mtu kaisaidia timu lazima kwenye hesabu zilizofanyiwa auditing ionekaneZinaingiza pesa toka kwa wadhamini halafu muwekezaji naye anaongea nyuma ya mikamera kwamba anaidai club husika mabilioni ya pesa bila mtililiko wa kimahesabu
Mbona nchi zilizoendelea wameweza kufanya timu zao kuacha ujanjaujanjaMkuu, timu ukizibana hivyo imani yangu ni kubwa zitarudi nyuma hasa kwa upande wa udhamini na wawekezaji. Hakuna mwekezaji au mdhamini atakayekubali hii hoja yake,wawekezaji watakimbia,timu zitarudi ktk umaskini,mdororo ktk mashindano ya kimataifa na timu yetu ya taifa itarudi nyuma.
Kwa hiyo nadhani bora kuziacha timu zifanye zinavyoona inafaa kikubwa zisikiuke taratibu,kanuni na sheria za mchezo wa mipira wa miguu na nchi kwa ujumla.
Kama tungekuwa na mamlaka zenye nguvu wangefuatilia hili swala kwa kina na kutoa majibu ila bahati mbaya kumekuwa na sarakasi nyingiKwanzq 20b aliweka mezani??
Unaweza ukanipostia auditing report ya Chelsea au Man City ya mwaka juzi au mwaka jana?Ni uhuni ambao una-lelewa hata kama mtu kaisaidia timu lazima kwenye hesabu zilizofanyiwa auditing ionekane
Ni mda wa kuacha ujanja-ujanja
ulaya ni tofauti na bongo hilo unatakiwa ulijue.Mbona nchi zilizoendelea wameweza kufanya timu zao kuacha ujanjaujanja
Γle mpira wetu ukue hatutakiwi kuwa na huu ujanja ujanja
Unataka kusema hawafanyagi auditingUnaweza ukanipostia auditing report ya Chelsea au Man City ya mwaka juzi au mwaka jana?
Mimi ninajua kuna aina mbili za company auditing. Public Company Limited (PLC) Auditings na Private Company Auditings. Wewe unazungumzia ipi?Unataka kusema hawafanyagi auditing
Simba na yanga ni timu za wanachama sio timu binafsi kama ilivyo azam hili kwanza unalijuaMimi ninajua kuna aina mbili za company auditing. Public Company Limited (PLC) Auditings na Private Company Auditings. Wewe unazungumzia ipi?
Na kule mwekezaji anakodai billion 67Wakifanya hiyo Utopwinyo kutalipuka bomu..
Hizo Simba na Yanga zimesajiliwa na kutambulika kama PLC na kampuni za kibiashara hapa Tanzania? Kama hazijasajiliwa hivyo, sio rahisi kwazo kuzi hold accountable. Labda useme kabla ya kuzitaka zitoe taarifa zake za fedha zisajiliwe kama nilivyoshauri. Hapo zitafanya by enforced by laws not by personal interest!ππππSimba na yanga ni timu za wanachama sio timu binafsi kama ilivyo azam hili kwanza unalijua
Kama unajua zinaweza kusajiliwa kama PLC HAKUKUA NA HAJA YA KUBISHAHizo Simba na Yanga zimesajiliwa na kutambulika kama PLC na kampuni za kibiashara hapa Tanzania? Kama hazijasajiliwa hivyo, sio rahisi kwazo kuzi hold accountable. Labda useme kabla ya kuzitaka zitoe taarifa zake za fedha zisajiliwe kama nilivyoshauri. Hapo zitafanya by enforced by laws not by personal interest!ππππ
Ushasema nchi zilizo endelea, sasa hii inchi yako imeendelea?Mbona nchi zilizoendelea wameweza kufanya timu zao kuacha ujanjaujanja
Γle mpira wetu ukue hatutakiwi kuwa na huu ujanja ujanja
Kwani hata muundo wa ligi ya mpira situmewaiga wao au na hili hulijuiUshasema nchi zilizo endelea, sasa hii inchi yako imeendelea?
Kama alivyo shauri mdau hapo juu, waacheni wafanye wanacho taka ili mradi hawavunji sheria.
Ila kama munataka turudi nyuma, igeni nchi zilizo endelea.