Tinubu (70) ni mdogo kwa Kikwete (72)? Seriously!

Yaani hata kama ni Siasa hii sasa komesha. Tinubu (70) ni mdogo kuliko Rais Mstaafu Jakaya Kikwete(72)?

NB: Chinekeeeee

View attachment 2565798
Hilo ni pozi tu la kupotezea maboya watu, ila unaweza kukuta yuko makini sana.

Hawa wanairaland huwa ni wajanjawajanaja sana, ukiwadefine kwa bodylanguage wanakupiga.
 
Kuna watu wengine wanazeeka haraka. Trust me. Ila sitetei kuwa umri wake ni sahihi. Mkuu vipi hapo ukiangukiwa na zari la kupendwa naye, uambiwe uwe first lady utakataa?
Naanzia wapi kukataa ?Ila nitakuwa motivated na visima vya mafuta tu.Lengo langu litakuwa ni kwenda kupata fursa ya kumiliki visima vya mafuta kule Delta state na si upendo.
 
,msukosuko Mzee wetu kikwete aliopata maishani mwake mote ni mmoja TU alivotembea Kwa mguu kilomita karibu 10 au zaidi akikimbia chuo mafuzo kijeshi monduli baada ya kurikisha aliyorikisha Kwa nyerere kuwa wazi
Ilikuwaje hii mkuu?
 
Naanzia wapi kukataa ?Ila nitakuwa motivated na visima vya mafuta tu.Lengo langu litakuwa ni kwenda kupata fursa ya kumiliki visima vya mafuta kule Delta state na si upendo.
Ukikaa naye wakati anatoa speech utakuwa unaona-ona aibu kama huyu? Hatari sana. By the way mwanamke akimkubali mwanaume kwa sababu ya fedha tu na akaishi naye baada ya muda penzi la kweli litachipuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…