Tinubu (70) ni mdogo kwa Kikwete (72)? Seriously!

Tinubu (70) ni mdogo kwa Kikwete (72)? Seriously!

Siasa za afrika ujanja ujanja mwingi
1679818196688.png

Huyu ana 80yrs kwa sasa, Unalipi la kusema
 
Kuna watu wengine wanazeeka haraka. Trust me. Ila sitetei kuwa umri wake ni sahihi. Mkuu vipi hapo ukiangukiwa na zari la kupendwa naye, uambiwe uwe first lady utakataa?
Naanzia wapi kukataa ?Ila nitakuwa motivated na visima vya mafuta tu.Lengo langu litakuwa ni kwenda kupata fursa ya kumiliki visima vya mafuta kule Delta state na si upendo.
 
,msukosuko Mzee wetu kikwete aliopata maishani mwake mote ni mmoja TU alivotembea Kwa mguu kilomita karibu 10 au zaidi akikimbia chuo mafuzo kijeshi monduli baada ya kurikisha aliyorikisha Kwa nyerere kuwa wazi
Ilikuwaje hii mkuu?
 
Naanzia wapi kukataa ?Ila nitakuwa motivated na visima vya mafuta tu.Lengo langu litakuwa ni kwenda kupata fursa ya kumiliki visima vya mafuta kule Delta state na si upendo.
Ukikaa naye wakati anatoa speech utakuwa unaona-ona aibu kama huyu? Hatari sana. By the way mwanamke akimkubali mwanaume kwa sababu ya fedha tu na akaishi naye baada ya muda penzi la kweli litachipuka.
 
Back
Top Bottom