Mimi sijahamisha hoja, ila nimeulizia Ilmu za Mufti na hao wengine.ndio dalili ya mtu aliyeshindwa hoja basi ukimbilia kuhamisha hoja, elimu ni elimu tu mradi unaitumia vile ambavyo inapaswa kutumika, kuwa na phd sio suluhisho la kuwa kiongozi bora.
tatizo uchaguzi wa mufti bakwata wale jamaa wasiojulikana wanakuwaga weengi ili akina ponda wasichukue nafasi..Kipindi akiwa madarakani tu ilionesha dhahiri kwamba likija kutokea la kutokea juu yake basi ataacha pengo kubwa ambalo litachukua miaka mingi sana kuja kuzibwa. Mpaka sasa hilo pengo bado linaonekana dhahiri.
pale huwa hapatakiwi kukaa MTU anaejielewaDuh yamekuwa hayo tena?
Nakumbuka wakati ule mufti huyu alipochaguliwa waumini waalishangilia sana kwa kuruka ruka na kucheza kwa furaha na waliohojiwa walikuwa wakimsifu sana wakisema safari hii bakwata wamempata mufti wa ukweli, sasa mambo yamebadilika tena...!
Hilo ndiyo tatizo. Wangeachavwaislam.wafanye maamuzi yao kwa namna waionayo inafaa ili mradi hawavunji sheria za nchi. Lakini kuwabana bana na kuwachagulia watu wa kuwaingoza ni kiwanyima uhuru waotatizo uchaguzi wa mufti bakwata wale jamaa wasiojulikana wanakuwaga weengi ili akina ponda wasichukue nafasi..
Amempita gwajima na mzee wa upakoKwani Mufti ana level ipi ya Ilmu?
Je hao viongozi wa Bakwata?
Takbiir.......!
hawataki waislam wawe na umoja na maendeleo,inadaiwa huko nyuma(1992) katoliki walitoa hela ya mkutano wa bakwata..bakwata hawakuwa na kitu...yalifanyika mapinduzi bakwata miaka ya 90 mwanzoni..serikali ikamwaga FFU kuyazuwiaHilo ndiyo tatizo. Wangeachavwaislam.wafanye maamuzi yao kwa namna waionayo inafaa ili mradi hawavunji sheria za nchi. Lakini kuwabana bana na kuwachagulia watu wa kuwaingoza ni kiwanyima uhuru wao
Ana level ipi ya Ilmu?Amempita gwajima na mzee wa upako
Nasikia Shehe Ponda ndo kiongozi wa hilo vugu vugu la kumpindua Mufti ZubeirKama mrithi wake hajaandaliwa- na wale waliomsimika basi wasahau huyo mtu kutoka,hawawezi ruhusu wakina Sheikh Ponda waongoze BAKWATA!!!
Habari ya Uzinzi ni ngumu sana kuisema kwani huruhusiwi kutoa ushahidi mpaka uwe umejionea kwa macho yako mwenyewe (necked eye)Mimi napita tu! Ila wewe una uhakika gani kama kilichosemwa ni uongo ama ukweli? Na wewe unaelekea katika mkumbo wa kusingizia kama si kusema uongo.
Umekosea hapo kwenye maneno ya mwishopollen sana waislaam wenzangu wenye iman na chombo hk na km munategemea maendeleo ktk din kwa kutegemea chombo HK bac uislaam wenyewe ndo kwisha!
Mufti simba allibiwa na hawara pesa za kununulia mbuzi wa hija dola 30,000Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Mna mambo nyie,Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Ukiona hivyo amezuia ulaji wa watu hapoDuh yamekuwa hayo tena?
Nakumbuka wakati ule mufti huyu alipochaguliwa waumini waalishangilia sana kwa kuruka ruka na kucheza kwa furaha na waliohojiwa walikuwa wakimsifu sana wakisema safari hii bakwata wamempata mufti wa ukweli, sasa mambo yamebadilika tena...!
cjamaansha uislam wa asil kwa maana km waislam wataitegemea bakwata kwa mambo yao bac waislam watabak na uislamu jina na sio uislam halis aliokuja nao mtume wetu. but big up kwa masahihisho hayo mkuuUmekosea hapo kwenye maneno ya mwisho
Uislamu hauwezi kwisha kwa watu kuitegemea BAKWATA
BAKWATA itabaki hivyo hivyo au itakufa kama haifai
Lakini UISLAMU utabaki palepale
Mtu anafumaniwa hadi maca, noma sanaMufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Masters in Islamic Law.Ana level ipi ya Ilmu?
Sijahitaji mlinganisho.