Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Mimi sijahamisha hoja, ila nimeulizia Ilmu za Mufti na hao wengine.ndio dalili ya mtu aliyeshindwa hoja basi ukimbilia kuhamisha hoja, elimu ni elimu tu mradi unaitumia vile ambavyo inapaswa kutumika, kuwa na phd sio suluhisho la kuwa kiongozi bora.
Kama nimehamisha hoja hebu thibitisha hilo.