Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

ndio dalili ya mtu aliyeshindwa hoja basi ukimbilia kuhamisha hoja, elimu ni elimu tu mradi unaitumia vile ambavyo inapaswa kutumika, kuwa na phd sio suluhisho la kuwa kiongozi bora.
Mimi sijahamisha hoja, ila nimeulizia Ilmu za Mufti na hao wengine.

Kama nimehamisha hoja hebu thibitisha hilo.
 
Kipindi akiwa madarakani tu ilionesha dhahiri kwamba likija kutokea la kutokea juu yake basi ataacha pengo kubwa ambalo litachukua miaka mingi sana kuja kuzibwa. Mpaka sasa hilo pengo bado linaonekana dhahiri.
tatizo uchaguzi wa mufti bakwata wale jamaa wasiojulikana wanakuwaga weengi ili akina ponda wasichukue nafasi..
 
Mimi sio Mwislamu. Simfahamu Mufti na wala sijawahi kumwona lakini naona kama hii habari ina 'msukumo' fulani wa kumchafua Mufti ili mtu mwingine apewe hiyo nafasi yake. Kwani BAKWATA haiwezi kujiendesha kama MUFTI amesafiri au ni mgonjwa? Kama kuna wafanyakazi wa BAKWATA hawajalipwa kwani hizo pesa zinatoka mfukoni mwa MUFTI? Na mbona lawama hizi zinatolewa wakati hayupo nchini, ni ili asiweze kujitetea sio?

There is something very wrong with these accusations.
 
Duh yamekuwa hayo tena?
Nakumbuka wakati ule mufti huyu alipochaguliwa waumini waalishangilia sana kwa kuruka ruka na kucheza kwa furaha na waliohojiwa walikuwa wakimsifu sana wakisema safari hii bakwata wamempata mufti wa ukweli, sasa mambo yamebadilika tena...!
pale huwa hapatakiwi kukaa MTU anaejielewa
 
tatizo uchaguzi wa mufti bakwata wale jamaa wasiojulikana wanakuwaga weengi ili akina ponda wasichukue nafasi..
Hilo ndiyo tatizo. Wangeachavwaislam.wafanye maamuzi yao kwa namna waionayo inafaa ili mradi hawavunji sheria za nchi. Lakini kuwabana bana na kuwachagulia watu wa kuwaingoza ni kiwanyima uhuru wao
 
Hilo ndiyo tatizo. Wangeachavwaislam.wafanye maamuzi yao kwa namna waionayo inafaa ili mradi hawavunji sheria za nchi. Lakini kuwabana bana na kuwachagulia watu wa kuwaingoza ni kiwanyima uhuru wao
hawataki waislam wawe na umoja na maendeleo,inadaiwa huko nyuma(1992) katoliki walitoa hela ya mkutano wa bakwata..bakwata hawakuwa na kitu...yalifanyika mapinduzi bakwata miaka ya 90 mwanzoni..serikali ikamwaga FFU kuyazuwia
 
Ngoja badaye mufti Akija kwake Ufipa pale ntaenda kumsalimia kwenye kijiwe chake cha kahawa ....ntajaribu kumuliza maneno mawili matatu

Ova
 
Kama mrithi wake hajaandaliwa- na wale waliomsimika basi wasahau huyo mtu kutoka,hawawezi ruhusu wakina Sheikh Ponda waongoze BAKWATA!!!
Nasikia Shehe Ponda ndo kiongozi wa hilo vugu vugu la kumpindua Mufti Zubeir
 
Mimi napita tu! Ila wewe una uhakika gani kama kilichosemwa ni uongo ama ukweli? Na wewe unaelekea katika mkumbo wa kusingizia kama si kusema uongo.
Habari ya Uzinzi ni ngumu sana kuisema kwani huruhusiwi kutoa ushahidi mpaka uwe umejionea kwa macho yako mwenyewe (necked eye)
 
Jerry Muro atalitolea ufafanuzi mchana kwenye mkutano na waandishi wa habari....
 
pollen sana waislaam wenzangu wenye iman na chombo hk na km munategemea maendeleo ktk din kwa kutegemea chombo HK bac uislaam wenyewe ndo kwisha!
Umekosea hapo kwenye maneno ya mwisho

Uislamu hauwezi kwisha kwa watu kuitegemea BAKWATA

BAKWATA itabaki hivyo hivyo au itakufa kama haifai
Lakini UISLAMU utabaki palepale
 
Naiomba serikali iingilie kati iwalipe waislamu na kuisimamia BAKWATA isije ikatekwa na mamluki wa uamsho au shehe Ponda and company. Shehe ponda yeye ni kuponda tu. Hatoagi wazo la kujenga. Yeye ni bomoa bomoa ya ponda ni sheikh Bomoa Bomoa
 
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Mufti simba allibiwa na hawara pesa za kununulia mbuzi wa hija dola 30,000
Masikini mahujaji wametoa hela yao hawakuchinja,hijja yao sijui kama ilipokelewa
Ile nafasi haina tofauti na waziri wa maliasili na utalii yahitaji uwe karibu sana na Mungu
Ila kwa kuwa Mufti huyu ni rafiki wa Magufuli nina imani atawaponda ponda wapinzani wake,ila akivuka ajifunze kwa kumuondoa katibu mla mirungi
 
Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.

Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Mna mambo nyie,
 
Duh yamekuwa hayo tena?
Nakumbuka wakati ule mufti huyu alipochaguliwa waumini waalishangilia sana kwa kuruka ruka na kucheza kwa furaha na waliohojiwa walikuwa wakimsifu sana wakisema safari hii bakwata wamempata mufti wa ukweli, sasa mambo yamebadilika tena...!
Ukiona hivyo amezuia ulaji wa watu hapo
 
Umekosea hapo kwenye maneno ya mwisho

Uislamu hauwezi kwisha kwa watu kuitegemea BAKWATA

BAKWATA itabaki hivyo hivyo au itakufa kama haifai
Lakini UISLAMU utabaki palepale
cjamaansha uislam wa asil kwa maana km waislam wataitegemea bakwata kwa mambo yao bac waislam watabak na uislamu jina na sio uislam halis aliokuja nao mtume wetu. but big up kwa masahihisho hayo mkuu
 
Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.

Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Mtu anafumaniwa hadi maca, noma sana
 
Back
Top Bottom