TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Hahahaa dah!!! Watu mkishiba amani mnaanza kucheua shibe...

Unazungumza kana kwamba sasahivi nchi hii ni sawa na Somalia au Kongo.

Yani unasema nchi haiko salama hata chembe wakati huo umekaa umerelax kabisa hapo kwako ukiwa unabofyabofya keyboard yako bila hata kusikia kakishindo hata kwa mbaaali ka bomu...

Watanzania hebu tuwe makini na watu wa namna hii....ni hatari sana. Kauli zao sio salama....mie nimeangalia taarifa ya habari sasahivi walau nione kama kuna sehemu ya nchi yetu limepigwa bomu hata moja hakuna sijasikia. Sasa wewe nguchiro unaesema nchi haiko salama hata chembe unamaanisha Tanzania au Somalia?

Ufipa kauli zenu hizi hazitatufanya watanzania tuwaamini kuwapa nchi. Bado hamjastahiri hata kufikiriwa kuwapa nchi muiongoze kwakuwa fikra zeni bado zipo down sana...
 
umeona eh........ kama kisheria (yao ya kazi) wanaruhusiwa hata kumbana mtu korodani kwa praizi.... ili mradi wapate wanachokitaka..............how comes tunawahukumu??

..hakuna sheria inayowaruhusu kutesa.

..pia taarifa zinazopatikana kutokana na kutesa watuhumiwa huwa ni za uongo zisizo na faida yoyote ktk upelelezi.

..wengi wanaoteswa hutoa taarifa feki ili kuwafurahisha watesaji wao na kupunguza maumivu na mateso.
 
Acheni utoto!!kama hamtaki TISS mtakuwa mateka Wa mataifa mengine!!hivi nyie wapinzani mna akili kweli?
 
Paskali tulia zama zimebadilika hamna uhuru huo mnaotaka labda kahamie Somalia nadhani Ally Kessi ameshawaonya ninaochoona hapa ni povu la utotoni kwa kustaafishwa mzee.

Kwa TISS unayotaka nchi itaonekana ya kipuuzi Sawa na mtoto kumtusi babake no way out this children lazima wafundishwe nidhamu!!!
 
umeona eh........ kama kisheria (yao ya kazi) wanaruhusiwa hata kumbana mtu korodani kwa praizi.... ili mradi wapate wanachokitaka..............how comes tunawahukumu??
Hakuna kifungu ktk sheria ya TISS inayoruhusu kukamata au kutesa. Kama kipo basi kimetungwa leo huko chumbani kwako.
 
Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Dogo kama umesoma ukashindwa kuelewa ungeuchuna kwanza. Maana Mh. Ally Hassan Mwinyi kujiuzulu kwako wewe ni hadiithi kama ya sungura. Elewa mada kwanza punguza mhemko ili umtetee bashite wako kwa uhakika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…