TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Nchi zinazoongozwa kwa akili na si nguvu TISS zao hufanya ujasusi wa kiuchumi ili kuboresha uchumi wa nchi. Wangetumwa vijana katika nchi zenye uchumi bora kuchunguza sera za uchumi na utekelezaji wake. Hawa wa kwetu wana kwapua kile kidogo ulichokitafuta kwa jasho.
 
Mkuu Pasco , katika fani ya inteligensia hakuna kitu cha mitaani.
Ndio maana vijana wanatumwa kwenye mabaa kusikiliza tu watu wanasema nini.
ALL information is collected, wengine ndio wanafanya analysis, true or false.
Kwamba Kapilimba aliondolewa in itself ni moshi uliofukuta.
Uki analyse alichosema Kapilimba akiwa Zimbabwe is probably the official narrative, kama alivyosema Waziri Mkuu Songea.
Lakini mitaani (un official outlets) hadithi ilikuwa tofauti kabisa, na hatimaye ikaonekana kuwa kweli.

Kuna muda mzuri tu chombo chetu hiki kukaa sawa na kutekeleza kazi zake kwa weledi bila kuingiliwa.
Kiukweli kwenye kadhia ile, ni aibu kubwa, watu mitaani wanajua kipenga kimeisha pulizwa na the game is over, lakini wakaendelea kuaminisha watu the game is still on again. Zanzibar waliahirisha kila kitu, huku bara ndio kwanza wanawatuma watu ziara za kizazi!.

Ukweli ulipokuja kutangazwa rasmi kuwa the game is over, taarifa za kitaa zikaonekana kuwa ni kweli, hii ni aibu kubwa kwa wahusika. Tanzania tungekuwa ni nchi inayosisitiza uwajibikaji sa kweli, hao jamaa wote walipaswa kuwajibika since then. Lets sit, fait and watch, mama ataendelea kuibeba mizigo ya Mtangulizi kwa umbali gani, naona kama imeanza kumwelemea mapema !.

Haswa yale makorokocho mawili pale Wizara ya Afya, sasa wanapigishana kelele na yule kichaa kwa lugha zile zile, hivyo watu kushindwa kutofautisha nani kichaa na nani sio kichaa, wote manziganyanza!.
P
 
Kiukweli kwenye kadhia ile, ni aibu kubwa, watu mitaani wanajua kipenga kimeisha pulizwa na the game is over, lakini wakaendelea kuaminisha watu the game is still on again. Zanzibar waliahirisha kila kitu, huku bara ndio ndio kwanza wanawatuma watu ziara za kizazi.

Ukweli ulipokuja kutangazwa rasmi kuwa the game is over, taarifa za kitaa zikaonekana kuwa ni kweli, hii ni aibu kubwa kwa wahusika. Tanzania tungekuwa ni nchi inayosisitiza uwajibikaji sa kweli, hao jamaa wote walipaswa kuwajibika since then. Lets sit, fait and watch, mama ataendelea kuibeba mizigo ya Mtangulizi kwa umbali gani, naona kama imeanza kumwelemea mapema !.

Haswa yale makorokocho mawili pale Wizara ya Afya, sasa wanapigishana kelele na yule kichaa kwa lugha zile zile, hivyo watu kushindwa kutofautisha nani kichaa na nani sio kichaa, wote manziganyanga!.
P

Hahahahaha!!!

Ati kichaa
 
Yale mambo aliyokuwa anasema Lissu siku chache zilozopita alipokuwa anaongea na wakili Fatma Karume kwamba wapo wafungwa 400 wa siasa katika magereze yetu sasa hivi,hayo ndiyo mambo ya kujadili.
Kwa sababu Lissu yuko DC sasa hivi.
Watu hawataki udikteta,pia wanataka udikteta. Rais Samia anaweza kusema mwacheni huru Mbowe,mnamuonea tu.
Au, hao wafungwa wa siasa 400. Walifanya nini? Nataka wote waachiwe huru leo jioni.
Maoni yangu mimi. It is the economics that people should be worried about. Human Rights situation Tanzania haina matatizo.
 
Kiukweli kwenye kadhia ile, ni aibu kubwa, watu mitaani wanajua kipenga kimeisha pulizwa na the game is over, lakini wakaendelea kuaminisha watu the game is still on again. Zanzibar waliahirisha kila kitu, huku bara ndio ndio kwanza wanawatuma watu ziara za kizazi.

Ukweli ulipokuja kutangazwa rasmi kuwa the game is over, taarifa za kitaa zikaonekana kuwa ni kweli, hii ni aibu kubwa kwa wahusika. Tanzania tungekuwa ni nchi inayosisitiza uwajibikaji sa kweli, hao jamaa wote walipaswa kuwajibika since then. Lets sit, fait and watch, mama ataendelea kuibeba mizigo ya Mtangulizi kwa umbali gani, naona kama imeanza kumwelemea mapema !.

Haswa yale makorokocho mawili pale Wizara ya Afya, sasa wanapigishana kelele na yule kichaa kwa lugha zile zile, hivyo watu kushindwa kutofautisha nani kichaa na nani sio kichaa, wote manziganyanga!.
P
Maskini Mama Samia-Nikimwangalia sana huyu mama kuna wakati huwa namwonea huruma sana kama Rais.Ni Rais ambaye kuna muda unamwona kabisa ana vision lakini deliverance mwishoni ndo tatizo.Utawala wake umejaa a lot of confusions kwenye nearly every aspect sababu anakosa consistence or good judgement.

Based on my personal assessment-naona kabisa kuanzia na yeye kuna tatizo kubwa sana la hekima ya kimaamuzi-kuna point ni lazima afanye personal assessment na kufikia conclusions kama Rais baada ya briefings anazopokea kutoka kwa wasaidizi wake pamoja na vyombo mbalimbali vya usalama wa Taifa.Assessment anazopokea ni lazima azifanyie review kama Rais naku weigh kama zina-align na vision ya serikali yake anayoiongoza sababu hayuko totaly binded na recommendations anazopokea, na ni yeye ambaye yuko answerable kwa wananchi waliomchagua-anapaswa kufika point na kusema This is were as stand as a president na siyo tu kusema "nendeni kafanyieni hayo mliyayapendekeza kwa ukamilifu".
Example-Magufuli ingawa nilikuwa nina disagreement naye kwenye mambo mengi ulikuwa ukimwangalia unaona kuna kitu fulani anataka ku-achieve na ana consistence na focus.Magufuli alikuwa anasimama anawaambia wananchi nataka Tanzania iwe ni nchi ya viwanda na miundombinu bora-Na ukimwangalia akili zake,nguvu na moyo wake ulikuwa focused huko kwa ajili ya ku-deliver aliyoyasema.
Sasa mama yetu anawambia viongozi na wananchi anaowaongoza kwamba anataka demokrasia,kujenga uchumi na wananchi kusikilizwa,Matendo yake sasa-Viongozi wa kisiasa wanawekwa ndani,wananchi wakilalamikia tozo wanaambiwa waende Burundi,Baadhi ya wawekezaji wakija wanakumbana na machangamoto chungu nzima-yaani ni vurugu mechi.

Changamoto ya pili kubwa ni TISS na washauri wengine wa karibu wa Rais,kuna wakati huwa najiuliza just simple questions-Waziri gwajima akikaa na Rais huwa anamshaurigi nini cha maana? Kabudi anauelewa upi mpana wa kumshauri vyema Rais? Mkuu wa usalama wa taifa na watu wake huwa wanafanya nn hasa kama hata issue ya March iliwashinda? Haya mambo ambayo serikali inayafanya ikiwemo kupitisha tozo na sheria bungeni halafu serikali inapiga u-turn gafla baada ya kuona public outcry, je washauri wake hawakuweza kujua likely outcome na ku-implement best options? Imefika point wananchi sasa wanaanza kutokuiheshimu serikali kwa sababu wameshaanza kuona inakurupuka.
 
Kwa hiyo unataka TISS imwajibishe Sniper?
To be fair-TISS inahitajika kuundwa upya,zikiwemo sheria na miongozo inayoiongoza taasisi hii kubadilishwa.Ni hatari sana kwa usalama wa taifa hili huko mbeleni tukiendelea kuwa na TISS ya sampuli hii ambayo resources zake nyingi zimeelekezwa kupambana na wananchi hasa vyama vya siasa,waandishi wa habari,viongozi wa dini nk. badala ya ku-perfome core issues.Kama jambo la March tu liliwashinda ku-handle,hizo international missions kwenye nchi ambazo zina well equiped counter intelligence capabilities wata-operate vp kwa mentality hz? TISS inatakiwa kuwajibika pia kwa other organs kwenye baadhi ya issues, TISS inapaswa kuwa prohibited ku-deal na wananchi wa kawaida kwa sababu za kisiasa,na pia role ya Rais kwa TISS inapaswa kupunguzwa kwa afya ya Taifa hili.
 
Maskini Mama Samia-Nikimwangalia sana huyu mama kuna wakati huwa namwonea huruma sana kama Rais.Ni Rais ambaye kuna muda unamwona kabisa ana vision lakini deliverance mwishoni ndo tatizo.Utawala wake umejaa a lot of confusions kwenye nearly every aspect sababu anakosa consistence or good judgement.

Based on my personal assessment-naona kabisa kuanzia na yeye kuna tatizo kubwa sana la hekima ya kimaamuzi-kuna point ni lazima afanye personal assessment na kufikia conclusions kama Rais baada ya briefings anazopokea kutoka kwa wasaidizi wake pamoja na vyombo mbalimbali vya usalama wa Taifa.Assessment anazopokea ni lazima azifanyie review kama Rais naku weigh kama zina-align na vision ya serikali yake anayoiongoza sababu hayuko totaly binded na recommendations anazopokea, na ni yeye ambaye yuko answerable kwa wananchi waliomchagua-anapaswa kufika point na kusema This is were as stand as a president na siyo tu kusema "nendeni kafanyieni hayo mliyayapendekeza kwa ukamilifu".
Example-Magufuli ingawa nilikuwa nina disagreement naye kwenye mambo mengi ulikuwa ukimwangalia unaona kuna kitu fulani anataka ku-achieve na ana consistence na focus.Magufuli alikuwa anasimama anawaambia wananchi nataka Tanzania iwe ni nchi ya viwanda na miundombinu bora-Na ukimwangalia akili zake,nguvu na moyo wake ulikuwa focused huko kwa ajili ya ku-deliver aliyoyasema.
Sasa mama yetu anawambia viongozi na wananchi anaowaongoza kwamba anataka demokrasia,kujenga uchumi na wananchi kusikilizwa,Matendo yake sasa-Viongozi wa kisiasa wanawekwa ndani,wananchi wakilalamikia tozo wanaambiwa waende Burundi,Baadhi ya wawekezaji wakija wanakumbana na machangamoto chungu nzima-yaani ni vurugu mechi.

Changamoto ya pili kubwa ni TISS na washauri wengine wa karibu wa Rais,kuna wakati huwa najiuliza just simple questions-Waziri gwajima akikaa na Rais huwa anamshaurigi nini cha maana? Kabudi anauelewa upi mpana wa kumshauri vyema Rais? Mkuu wa usalama wa taifa na watu wake huwa wanafanya nn hasa kama hata issue ya March iliwashinda? Haya mambo ambayo serikali inayafanya ikiwemo kupitisha tozo na sheria bungeni halafu serikali inapiga u-turn gafla baada ya kuona public outcry, je washauri wake hawakuweza kujua likely outcome na ku-implement best options? Imefika point wananchi sasa wanaanza kutokuiheshimu serikali kwa sababu wameshaanza kuona inakurupuka.
Naunga mkono hoja. Kwa mujibu wa katiba, japo rais anawashauri mbalimbali lakini kwenye kufikia maamuzi ni rais anaamua kama yeye not bind kufuata ushauri wa yoyote, na hata rais akikubali ushauri wowote wa wasaidizi wake, kukitokea any backfire, the conséquences za uamuzi huo, zina fall kwake. Mfano kwenye uteuzi, rais anapochomekewa baadhi ya makorokocho na kweli anawateua, kisha the public ndio mjulisha huyo ni korokocho ndipo rais anatengua, anayeonekana hayuko makini ni mteuzi na sio aliyechomekea hayo makorokocho.

Kwa maoni yangu Tiss makini ya mwisho ni Tiss ya Apson, from there sijui hii Tiss ya sasa ikoje?. Tiss za wenzetu wakati wa recrutement, walikuwa wanafanya head hunting to get and tap the best brains, lakini sasa naona kama kumejaa viazi fulani hivi!. Rais anapokuwa il informed, ni kumuaibisha na kuliaibisha taifa. Kwa maoni yangu kwa ile tuu kadhia ya March, Tiss ingepaswa ifumuliwe top to buttom, left, right and centre.
Kiukweli Mama Samia akiendelea kucheka na ngedere, tutayavuna mabua.
P
 
Naomba kujua kaka Pascal......... kazi/ TOR/Job description za TISS ni zipi??....
Japo mimi sio Tiss hivyo siwezi kujua TJD za Tiss ila humu JF tuna ma Tiss wa kumwaga wa kutosha.

The JF authority wetu kwenye mambo ya Tiss ni Mkuu Jasusi

P
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Kuna matukio mbalimbali yametokea na kuhusishwa na TISS, mengine ni visible, mengine ni invisible, sasa kwa sababu watu wote wenye akili timamu, wanajua TISS zote duniani huwa zinafanya matukio, yale matukio ambayo in invisible yanayohusishwa na TISS, kama kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda
Kuhusu yaliyompata Ben Sanane (RIP) na shambulio la kumuua Lissu abanwe 'yule RC' kwani anajua!
 
Naunga mkono hoja. Kwa mujibu wa katiba, japo rais anawashauri mbalimbali lakini kwenye kufikia maamuzi ni rais anaamua kama yeye not bind kufuata ushauri wa yoyote, na hata rais akikubali ushauri wowote wa wasaidizi wake, kukitokea any backfire, the conséquences za uamuzi huo, zina fall kwake. Mfano kwenye uteuzi, rais anapochomekewa baadhi ya makorokocho na kweli anawateua, kisha the public ndio mjulisha huyo ni korokocho ndipo rais anatengua, anayeonekana hayuko makini ni mteuzi na sio aliyechomekea hayo makorokocho.

Kwa maoni yangu Tiss makini ya mwisho ni Tiss ya Apson, from there sijui hii Tiss ya sasa ikoje?. Tiss za wenzetu wakati wa recrutement, walikuwa wanafanya head hunting to get and tap the best brains, lakini sasa naona kama kumejaa viazi fulani hivi!. Rais anapokuwa il informed, ni kumuaibisha na kuliaibisha taifa. Kwa maoni yangu kwa ile tuu kadhia ya March, Tiss ingepaswa ifumuliwe top to buttom, left, right and centre.
Kiukweli Mama Samia akiendelea kucheka na ngedere, tutayavuna mabua.
P
Exactly-Ukiangalia best intelligency agencies duniani kama FBI,CIA,MI6,KGB etc. huwa wanachukua pool ya watu ambao ni very talented na wenye IQ kubwa kwenye area tofauti tofauti; Pia huhusisha Detailed Mandatory Background checks za watu wanao-apply kabla ya kujiunga na taarifa za staffs wao zipo condidential.
Kuna jambo moja nililishuhudia ITV kwenye habari-kwamba afisa wa TISS alijitambulisha bar kwa kutoa kitambulisho chake cha kazi ambacho ni genuine na baadae jeshi la polisi lika-confirm- Oooh God,nikasema Tanzania hatuna watu ndani ya haya mashirika ya usalama.Ukiwaangalia watu wa system kama kina Bashite na Sabaya unajua tu-At the end,Nothing good will come out kwenye haya mashirika
 
Intelligence Agency kazi kuu itakuwa ni kukusanya habari.
Kazi ya pili (auxiliary, subsidiary)ni kazi operations,to shoot someone with a pistol,or something.
Wenzetu wa US mapema walishayajua haya na ndiyo maana ni illegal under US Law kwa CIA kufanya any intelligency or counter-intelligence activities kwenye ardhi ya Marekani-It is strictly prohibited.Na hata wakitaka kufanya survailance kwa a US citizen aliyepo nje ya Marekani ni lazima waombe kibali maalum.Wenzetu wana oversight kubwa sana kwenye haya mashirika-Hivyo siyo rahisi sana kuwaua kijinga wananchi with impunity
 
Exactly-Ukiangalia best intelligency agencies duniani kama FBI,CIA,MI6,KGB etc. huwa wanachukua pool ya watu ambao ni very talented na wenye IQ kubwa kwenye area tofauti tofauti; Pia huhusisha Detailed Mandatory Background checks za watu wanao-apply kabla ya kujiunga na taarifa za staffs wao zipo condidential.
Kuna jambo moja nililishuhudia ITV kwenye habari-kwamba afisa wa TISS alijitambulisha bar kwa kutoa kitambulisho chake cha kazi ambacho ni genuine na baadae jeshi la polisi lika-confirm- Oooh God,nikasema Tanzania hatuna watu ndani ya haya mashirika ya usalama.Ukiwaangalia watu wa system kama kina Bashite na Sabaya unajua tu-At the end,Nothing good will come out kwenye haya mashirika
Mkuu John7371 , kwanza asante kuyataja hayo mashirika the best ya intelligence duniani, its true yana tap the best brains na the best talents, ila kwenye list yako umelisahau shirika the best of the best, ni Mossad la Israel. A day before September 11, waliwatonya CIA na FBI, wakawapuuza. Waka tuma alert kwa raia wao wote wanaofanya kazi WTO, kuwa kesho wasiende kazini. Na kweli hawakwenda, ndipo kikatokea cha kutokea.

Japo mtu wa kawaida can't tell for shure who is real Tiss na vidampa wanaojifanya Tiss. Hao uliowataja nawaona kama ni vidampa tuu.
P
 
Hii Tiss ndio imeiharibu hii nchi baada ya kuacha majukumu yake na kugeuzwa kuwa Interahamwe na serikali ya ccm.

Kuna mengi sana ya kufanywa katika katiba mpya wanayoidai wananchi.
 
Mkuu John7371 , kwanza asante kuyataja hayo mashirika the best ya intelligence duniani, its true yana tap the best brains na the best talents, ila kwenye list yako umelisahau shirika the best of the best, ni Mossad la Israel. A day before September 11, waliwatonya CIA na FBI, wakawapuuza. Waka tuma alert kwa raia wao wote wanaofanya kazi WTO, kuwa kesho wasiende kazini. Na kweli hawakwenda, ndipo kikatokea cha kutokea.

Japo mtu wa kawaida can't tell for shure who is real Tiss na vidampa wanaojifanya Tiss. Hao uliowataja nawaona kama ni vidampa tuu.
P
Hawa MOSSAD hawa 🤣 🤣 🤣 ni hatari-Kuna tukio walilifanya Iran this year-Iran hakuwahi kulifikiria.Ngoja nikuletee reference yake.
Huwa nikisoma report ya Sept 11 "REPORT OF THE JOINT INQUIRY INTO THE TERRORIST ATTACKS OF SEPTEMBER 11, 2001 – BY THE HOUSE PERMANENT SELECT COMMITTEE ON INTELLIGENCE AND THE SENATE SELECT COMMITTEE ON INTELLIGENCE" naona kabisa ni jinsi gani intelligency agencies zao zilikosa coordination before.US alikuwa anauwezo mkubwa kabisa wa kuzuia lile shambulio ila ndo hivyo tena.The best about haya mashirika ya wenzetu ni kwamba wanajifunza na ku-adapt haraka failures zinapotokea.

- Haya mashirika ya kijasusi hasa MOSSAD & CIA kuwa matukio wakiyafanya ni ngumu sana kuweza kupata ushahd uliokamilika-hawaachi connecting dots,ila mashirika mengine yenye uwezo mkubwa yananaweza kuwa-identify kwa ku-analyse the level of technicality & complexity-Mara nyingi operations za MOSSAD na CIA ni very very complex na huwa wanashirikiana sana.
 
Mkuu John7371 , kwanza asante kuyataja hayo mashirika the best ya intelligence duniani, its true yana tap the best brains na the best talents, ila kwenye list yako umelisahau shirika the best of the best, ni Mossad la Israel. A day before September 11, waliwatonya CIA na FBI, wakawapuuza. Waka tuma alert kwa raia wao wote wanaofanya kazi WTO, kuwa kesho wasiende kazini. Na kweli hawakwenda, ndipo kikatokea cha kutokea.

Japo mtu wa kawaida can't tell for shure who is real Tiss na vidampa wanaojifanya Tiss. Hao uliowataja nawaona kama ni vidampa tuu.
P
The killing of Iran's top nuclear scientist last month was carried out remotely with artificial intelligence and a machine gun equipped with a "satellite-controlled smart system," Tasnim news agency quoted a senior commander as saying.

Iran has blamed Israel for the assassination of Mohsen Fakhrizadeh, who was seen by Western intelligence services as the mastermind of a covert Iranian program to develop nuclear weapons capability. Tehran has long denied any such ambition.

Israel has neither confirmed nor denied responsibility for the killing, and one of its officials suggested that the Tasnim report of the tactics used was a face-saving gambit by Iran.
In the past, however, Israel has acknowledged pursuing covert, intelligence-gathering operations against the nuclear program of its arch-enemy.

The Islamic Republic has given contradictory details of Fakhrizadeh's death in a daytime Nov. 27 ambush on his car on a highway near Tehran.

"No terrorists were present on the ground... Martyr Fakhrizadeh was driving when a weapon, using an advanced camera, zoomed in on him," Tasnim, a semi-official agency, quoted Ali Fadavi, the deputy commander of Iran's Revolutionary Guards, as saying in a ceremony on Sunday.

"The machine gun was placed on a pick-up truck and was controlled by a satellite."

SECURITY GAPS

Fadavi spoke after Iranian authorities said they had found "clues about the assassins," though they have yet to announce any arrests. Shortly after Fakhrizadeh was killed, witnesses told state television that a truck had exploded before a group of gunmen opened fire on his car.

Last week Ali Shamkhani, Secretary of the Supreme National Security Council of Iran, said the killing was carried out with "electronic devices" with no people on the ground.

Experts and officials told Reuters last week Fakhrizadeh's killing exposed security gaps that suggest its security forces may have been infiltrated and that the Islamic Republic was vulnerable to further attacks.

"Some 13 shots were fired at martyr Fakhrizadeh with a machine gun controlled by satellite... During the operation artificial intelligence and face recognition were used," Fadavi said. "His wife, sitting 25 centimeters away from him in the same car, was not injured."

Yoav Galant, an Israeli security cabinet minister, said he was "not aware" of whether the remote-operated targeting technologies described in the Iranian accounts existed.

"What I see is a great deal of embarassment on the Iranian side," Galant, a former naval commando and deputy chief of Israel's military, told Army Radio. "It would appear that those who were responsible for his (Fakhrizadeh's) security are now coming up with reasons for not having fulfilled that mission."

Fakhrizadeh, identified by Israel as a prime player in what it says is a continuing Iranian quest for a nuclear weapon, was the fifth Iranian nuclear scientist killed in targeted attacks since 2010 inside Iran, and the second slaying of a high-ranking Iranian official in 2020.
The commander of the Revolutionary Guards’ elite Quds Force, Qassem Soleimani, was killed in a U.S. drone strike in Iraq in January. Tehran retaliated by firing missiles at U.S. military targets in Iraq.
 
Nijuavyo, TISS ni kitengo cha kukusanya intelinjensia kutoka kila pembe ya nchi na dunia ili kulinda usalama na maslahi ya taifa. Kwa maana hiyo, yeyote mwenye mapenzi ya nchi yake na anaependa usalama wa raia wenzake, wa mali na rasilimali za nchi yake basi nae ni TISS.

Nani humu ambae si TISS?
 
😄😄Nyanya kumbe upo ni muda sana Mimi sijakusikia humu,
Kwa ulichosema ni sahihi kabisa msingi wa TISS ni kulinda usalama na maslahi ya taifa lakini nyakati hizi tunaona kabisa mapenzi hayo kwa mtu kupenda usalama wa wenzake,mali na rasilimali za nchi umeshuka sana na sababu kubwa ni kwamba wanasiasa wamewagawa Sana wananchi ndani na nje ya nchi tofauti na wakati wa mwalimu ie tunaona Sasa hivi wale waliopo kwenye upande wa utawala(chama) kwao ni rahisi zaidi kupata fursa na nafasi katika kujenga au kuendeleza maisha yao tofauti na waliopo nje ya mfumo wa utawala.
 
Nijuavyo, TISS ni kitengo cha kukusanya intelinjensia kutoka kila pembe ya nchi na dunia ili kulinda usalama na maslahi ya taifa. Kwa maana hiyo, yeyote mwenye mapenzi ya nchi yake na anaependa usalama wa raia wenzake, wa mali na rasilimali za nchi yake basi nae ni TISS.

Nani humu ambae si TISS?
Na waliomteka Mo walikuwa na maslahi ya nani?
 
Back
Top Bottom