TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Pasko kuwa Usalama wa Taifa basi Tunajua unapewaga briefing uzilete hapa na unafanya uandishi kama cover tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Babe la mji , duh...!, yaani Pasco ni TISS!, uandishi ni kuzuga tuu!, kiukweli hii kali na kubwa kuliko!. Tiss anayeikosoa serikali yake mitandaoni!.

Kiukweli mimi najihesabu ni mtu mwenye bahati kuzaliwa familia ya TISS kwa baba na mama. Mzee Mayalla ndiye alikuwa RSO wa Mwanza ile 1976 wakati wa sekeseke ya Kesi ya Mauaji Mwanza.

Kwa vile kuna dhana ya mwana wa nyoka ni nyoka, na sisi kwetu tumezaliwa 8, we can't all be nyokas!. Ndugu zangu 5 wako serikalini na sisi watatu tuko sekta binafsi. Siwezi kuwasemea wengine, lakini mimi ningekuwa TISS nisingeweza kupandisha mabandiko kama hili? )

P
 
Wanabodi

Introduction ya Mada
Hii ni mada very serious kwasababu inaijadili idara yetu nyeti ya TISS ambayo kutokana na unyeti wa idara hii, issues za idara hii huwa hazijadiliwi hovyo hovyo, hivyo ukiona hadi watu tunaojinasibu humu kuwa ni wazalendo wa taifa hili halafu tukajitokeza waziwazi humu kuijadili TISS huku tukitumia majina yetu hali, huu ni uthibitisho kuwa tunaleta mjadala huu kwa nia njema ya uzalendo wa kulisaidia taifa letu pale idara yake nyeti hii inapochafuliwa kwa kusingiziwa tuhuma za uongo, lakini pia kama ni kweli TISS inahusika, then tukubaliane kuwa TISS imechafuka na inahitaji kusafishwa.

Topic ya mjadala huu ni TISS Ikanushe Tuhuma za Uvamizi, Utekaji, Utesaji na Mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge Kwa Uwazi bali Wachunguzwe, Wakithibitika Kuhusika, Wafumuliwe Kwa Kusafishwa Tujenge TISS Safi!

Hivyo naomba mjadala huu ufanyike kwa heshima, staha na uangalifu mkubwa ili badiko hili lisionekane ni bandiko la kukosa uzalendo bali liwe ni bandiko la uzalendo wa kweli kwa taifa lalo lenye lengo la kusadia taifa letu kwasababu haya matukio ya ajabu ajabu yanayohusishwa na TISS, yanaichafua Taswira ya TISS yetu, ambapo kikawaida TISS inapaswa kuwa kama Ikulu, Ikulu ni mahali patakatifu, na TISS inapaswa kuwa ni Idara Takatifu, uadilifu wa TISS, unapaswa uwe ni uadilifu wa kiwango cha juu kabisa ambao haupaswi kutiliwa shaka yoyote, unapaswa kuwa ni uadilifu wa kiwango cha mke wa Kaisari, ile kutuhumiwa tuu ni kosa tosha hata bila kuthibitishwa, anahukumiwa!, hivyo hizi tuhuma mbalimbali za Uvamizi, Utekaji, Utesaji na Mauaji zinazoelekezwa TISS bila ya kukanushwa, zinapelekea TISS yetu kuhukumiwa na mahakama ya umma ambayo haihitaji ushahidi kama tuhuma tuu za mke wa Kaisari, hivyo lengo la bandiko hili ni ushauri wa bure kwa TISS yetu kuwa haya mambo mabaya ambayo TISS inanyooshewa kidole kuwa inahusika, kama haisiki, TISS i come to an open, ikanushe!, ukituhumiwa tuhuma za uongo, ukinyamaza kimya bila kukanusha, hiyo silence inachukuliwa kama ni admission of guilty.

Declaration of Interest
Tunapojadili jambo nyeti kama hili, ni vizuri ku declare interest ili kwanza kujenga imani kwenu wasomaji wangu kuwa mwandishi wa makala hii ni mtu wa kuaminika, hizi data kwenye bandiko hili ni data za kuaminika authentic na bonafide genuine sio data za kuokoteza, data za kubuni au data za kuzua,hivyo ni vyema mimi nikajitambulisha kidogo kwenu, pia kwa sababu mtu unapotoa data nyeti from time to time katika mabandiko yako, huchelewe kunyooshewa kidole kuwa huyu jamaa ni TISS, hivyo na mimi kudhaniwa ni TISS, hivyo bandiko kama hili, litawafungua macho wengi humu kuwa huyu mtoa mada atakuwa ni TISS wa ajabu kweli kuilaumu ofisi yake mitandaoni.

Mimi Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kuandika Investigative Stories, (IJ), ila pia nimepata bahati ya kuzaliwa na kukulia katika familia ya TISS kwa wazazi wangu wote wawili, baba na mama. Baba Mzee Andrew Mayalla (RIP) ameishatangulia mbele ya haki, na mama bado yuko hai, hivyo baadhi ya hoja zangu za kiitelijensia, sio kwasababu mwana wa nyoka ni nyoka, bali mtoto ukizaliwa kwa wazazi wote wawili ni wana inteligensia wa TISS, unazaliwa na natural intelligence ambayo ni tool muhimu sana kuweza kuwa Investigative Journalist.

Tuhuma Mbalimbali TISS
Kuna matukio mbalimbali yametokea na kuhusishwa na TISS, mengine ni visible, mengine ni invisible, sasa kwa sababu watu wote wenye akili timamu, wanajua TISS zote duniani huwa zinafanya matukio, yale matukio ambayo in invisible yanayohusishwa na TISS, kama kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda, sitahitaji TISS wajitokeza kuyakanusha kwasababu ni tuhuma za hisia tuu, lakini kwa yale matukio visible kama kushambuliwa kwa Tundu Lissu, kuvamiwa kwa Clouds Media na wale makirikiri wa Mkuu wa Mkoa wa DSM na yule mpuuzi aliyemtishia bastola Waziri Nape kuelezwa kuwa wale ni TISS kunaichafua idara yetu nyeti ya TISS!. Hivyo kama wale makirikiri waliovamia Clouds TV sio watu wao, TISS wasikae kimya wajitokeze wawakane na kukanusha uhusika wa TISS!. Kama yule mpuuzi aliyemtishia Nape kwa bastola sio mtu wao, TISS wajitokeze wamkane na wakanushe. Huku kutokea kwa matukio kama haya na kuhusishwa na TISS, halafu TISS wanajua sii kweli, sii wao, huku kukaa kimya bila TISS kukanusha uhusika wake, kunachukuliwa ni admission of guilt!.

Jee Tuhuma za Uhusika wa TISS zinatolewa Wapi na Zinatolewa na Nani?.
Nyingi ya tuhuma za kuhusika kwa TISS katika baadhi ya matukio ya hovyo, huanza kwa kutolewa na watu tuu wa kawaida, tuhuma zinapotolewa na watu wa kawaida tuu, watu ambao they are nobody, na zinatolewa kwenye vijiwe vya kahawa, it is right, kuzipuuza, lakini tuhuma hizi dhidi ya TISS zinapofikia kiwango cha kutolewa ndani ya Bunge letu Tukufu, tuhuma hizi sio za kuzipuuzia hata kidogo kwasababu Bunge ni chombo rasmi, wabunge wtu ni wawakilishi rasmi wa wananchi, wanapoituhumu TISS Bungeni, this is something very serious, sio jambo la kupuuziwa kwasababu TISS iko chini ya Ikulu yetu, na Ikulu ni mahala patakatifu, tuhuma tuu kumhusu mke wa Kaisari zinatosha kumuondoa Ikulu asije akapanajisi patakatifu petu!. Hiyo TISS isikae kimya lazima iibuke kuja kukanusha kutohusika kwake na kujisafisha na uchafu wa makandokando haya!, winginevyo kama ni kweli inahusika, ijitathimini yenyewe kwa kuwajibika au iwajibishwe kwa kusafishwa!.

Jee TISS ni Chafu Inahitaji Kusafishwa?.
Huu mjadala unaoendelea kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ambavyo vinahusishwa na idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa, TISS ni uthibitisho tosha kuwa TISS imechafuka inahitaji au kujisafisha au kusafishwa!.

Pamoja na Tanzania kuridhia mkakati wa Open Government Initiatives lakini kuna vitu huwezi kuvijadili openly lakini bado unaweza kuvichunguza na kuvifanyia kazi kimya kimya ila public ikaona matokeo na kurudisha imani.

Kuna watu wanadhani Usalama wa Taifa TISS wao ni malaika na hawawezi kabisa kufanya makosa kama madudu haya wanayotuhumiwa nayo sasa. No!, TISS ni kweli kwa vile iko chini ya Ikulu, na Ikulu ni mahali patakatifu, TISS pia inapaswa kuwa ni idara takatifu, lakini kwa vile TISS inaendeshwa na binadamu na sio malaika, TISS inaweza kufanya makosa na uchafu huo ukawa ni kweli ni TISS, ndio maana katika bandiko hili nasisitiza tuhuma hizi dhidi ya TISS kama sii kweli, TISS ikanushe, kama ni kweli, TISS imechafuka na inahitaji kusafishwa!. Hii sii mara ya kwanza kwa TISS kuchafuka, huko nyuma kuliwahi kutokea matukio ya TISS kuchafuka na Ilisafishwa!.

TISS Iliwahi Kuchafuka Vipi na Ilisafishwaje?.
Tiss huko nyuma iliwahi kufanya makosa ya utekaji, utesaji na hata uuaji, na ikafumuliwa!. Hivyo kwa vile tayari tunayo precedence ya vitendo viovu vya TISS kuwahi kufanyika huko nyuma, hivyo kwa kuutumia uthibitisho wa uovu huo, una justify kuwa kuna pia kuna wa vitendo hivi viovu ambavyo TISS inashutumiwa navyo, kuna uwezekano kabisa ikawa ni kweli ni TISS wetu ndio is behind huu uovu na uchafu huu unaozungumziwa sasa hadi Bungeni kwetu, ndio maana hadi Bunge linaelezwa halafu TISS wamekaa kimya wakishupaza shingo zao, kwa hoja kuwa "mnaweza kutufanya nini?", it's very true TISS ya nchi zote wakifanya uovu wowote kwa amri halali kutoka juu, no one can do anything!, hawawezi kufanywa lolote wala kuchunguzwa na yoyote, hapa duniani, but kuna mamlaka moja pekee kuu kuliko mamlaka zote, inayoweza kufanya kitu, kupitia kitu kinachoitwa Karma, hakuna atakajua kuwa mamlaka hiyo imefanya, bali matokeo ya karma ndio huonekana!.

Jee ni TISS Wetu Wanafanya Vitendo Hivi au Wanasingiziwa?.
Kuna uwezekano sio kila utekaji, utesaji, mashambulio na mauaji yanafanywa na TISS, inawezekana kabisa sio TISS as TISS bali matukio hayo ni acts za individual members wa TISS wakifanya a "stand alone operations" bila kupokea command yoyote kutoka juu, hivyo vitendo viovu vya members wachache wa TISS, vikaichafua image nzima ya TISS yetu safi collectively under the collective responsibilities formula.

Pia inawezekana kabisa vitendo hivi vinafanywa na wahuni fulani, ambao wana pose as TISS just to make believe kuwa ni TISS kumbe sio TISS bali ni just impostors wanao fanya matukio kwa kupose as TISS ili ionekane ni TISS, hivyo wanaochafua the good image ya TISS wetu waadilifu, this being the case, TISS iwakane wahuni hawa, ijitokeze kukanusha uhusika wake, na wahuni hawa watafutwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kuchafua good image ya TISS yetu takatifu!.

Whichever the case, TISS ijitokeze ama ijisafishe na iwakane wahuni hawa, ama isafishwe na kurudisha imani na TISS wetu kwa wananchi wa taifa letu.

Sikilizeni Tuhuma za TISS Bungeni Kwetu
Hebu kwanza msikilizeni Mhe. Husein Bashe

Kisha msikilize Mhe. Tundu Lissu anasema nini kuhusu utekaji na utesaji wa TISS, hao anaowatetea ndio wenye bahati who could live to tell, hivyo ndio waliosalimika, only God knows kwa wale wasio na bahati hatima yao ilikuwaje because they couldn't live to tell!.

Mwandishi naomba nikupe hongera kwa bandiko hili. Linaweza kuwa na upungufu wake kiasi fulani, lakini kwa kweli zaidi ya asilimia 80 lina - uhalisia na ukweli.

Kwa machache nayo yafahamu, ni kweli Idara inahitaji kujisafisha au isafishwe....huo ndio ukweli wenyewe! Na tatizo kubwa ni ni kupoteza focus ktk kufanya recruitment ya maaofisa hao. Kuingia kwa suala la ukabila, Mtoto wa fulani, vimemo ndiyo yamesababisha kupata watu wasio na dira, uzalendo, uwajibika na kuelewa kazi inataka nini.

Naomba niishie hapo, na wahusika najua wapo humu na wanajua ukweli...ila kusema hawawezi.

Bravo Mwandishi.......
 
Mkuu Babe la mji , duh...!, yaani Pasco ni TISS!, uandishi ni kuzuga tuu!, kiukweli hii kali na kubwa kuliko!. Tiss anayeikosoa serikali yake mitandaoni!.

Kiukweli mimi najihesabu ni mtu mwenye bahati kuzaliwa familia ya TISS kwa baba na mama. Mzee Mayalla ndiye alikuwa RSO wa Mwanza ile 1976 wakati wa sekeseke ya Kesi ya Mauaji Mwanza.

Kwa vile kuna dhana ya mwana wa nyoka ni nyoka, na sisi kwetu tumezaliwa 8, we can't all be nyokas!. Ndugu zangu 5 wako serikalini na sisi watatu tuko sekta binafsi. Siwezi kuwasemea wengine, lakini mimi ningekuwa TISS nisingeweza kupandisha mabandiko kama haya.

P
Mkuu pole kwa kudhhaniwa kuwa ndiye au siye.
TISS kwa kipindi cha awamu ya tano imedhalilika sana.
TISS na JWTZ ni taasisi ambazo moyoni wananchi tunaziamini sana.

Lakini awamu ya tano TISS imetumika vibaya, bila weledi(proffessionalism) na wakati mwingine kutenda vitendo ambavyo mbele ya umma ni outright hooliganism.
Utekwaji watu, na hata kuingilia Clouds wakiwa na uniform, ni vitendo vilivyo leta tahayari kwa watu ambao tunawaamini sana TISS kiutendaji.

Tunajua kuwa watendaji wakipewa amri ni kutekeleza bila kukiuka amri, lakini vitendo hivyo vimeumiza sana image ya TISS.

Awamu hii ya sita TISS ijinasibu na kurudisha heshima yake kiutendaji na huduma kwa Taifa.
 
Halafu kwa nini watekwaji wote ni wa kiume?!
Mashirika ya utetezi wa haki za kijinsia yalitazame hili.
 
Pascal

Unasema kwamba anatoa tuhuma kwa vyombo nyeti vya usalama,

Je kwako ni mara ya kwanza kusikia tuhuma kama hizi achilia mbali kutoka kwa Lissu?

Au unataka kujifanya haukusikia malalamiko tena makali kutoka ndani ya mhimili mkubwa wa dola (bunge) juu ya utesaji na mauaji yanayo fanywa na hao tiss ? Rejea kauli za wabunge Bashe, Nape, nk ndani ya bunge, Je uliwahi kuwaonya hao wabunge?

Kama wao (vyombo nyeti vya usalama) wamekuwa wakisikia tuhuma hizi kutoka kwa Wananchi mbona hawajawahi kuzitolea ufafanuzi wa maana ili jamii iachane na lawama dhidi yao?
Mkuu Mbogi, kila siku humu if, wanaingia madogo wapya, hivyo hawawezi kujua nani aliwahi kusema nini kuhusu wasiojulikana TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Na ufafanuzi pekee wa kuondoa lawama hizi ni fanya uchunguzi wa kile kinacholalamikiwa ikiwa ni pamoja na mauaji/ majaribio ya mauaji ya watu yaliyotokea.

Wewe Pascal, lisaidie taifa letu kwa kusema ukweli.
Kwenye hili la wasiojulikana, nimejitolea hata kufanya uchunguzi

Mabandiko hayo ni uthibitisho wangu kulisaidia taifa kwenye hii issue ya wasiojulikana.

P
 
Mkuu Mbogi, kila siku humu if, wanaingia madogo wapya, hivyo hawawezi kujua nani aliwahi kusema nini kuhusu wasiojulikana TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Kwenye hili la wasiojulikana, nimejitolea hata kufanya uchunguzi

Mabandiko hayo ni uthibitisho wangu kulisaidia taifa kwenye hii issue ya wasiojulikana.

P
Kweli mkuu Mayalla uliona mbali Leo TL anathibitisha tuhuma ambazo uliziandika miaka kadhaa nyuma🤔
 
Mkuu Mbogi, kila siku humu if, wanaingia madogo wapya, hivyo hawawezi kujua nani aliwahi kusema nini kuhusu wasiojulikana TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Kwenye hili la wasiojulikana, nimejitolea hata kufanya uchunguzi

Mabandiko hayo ni uthibitisho wangu kulisaidia taifa kwenye hii issue ya wasiojulikana.

P
Tumechoka hatuwezi kuvumilia tena. Sasa utatueleza vizurii kwa nini taasisi yetu ifumuliwe. Nimewatuma Vijana wangu wawili Rama ma Frenki wanakufuata wape ushirikiano.
 
Wanabodi

Naendelea na mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Leo nikiijadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hii ni idara ya Usalama wa Taifa, TISS
Introduction ya Mada
Hii ni mada very serious kwasababu inaijadili idara yetu nyeti ya TISS ambayo kutokana na unyeti wa idara hii, issues za idara hii huwa hazijadiliwi hovyo hovyo, hivyo ukiona hadi watu tunaojinasibu humu kuwa ni wazalendo wa taifa hili halafu tukajitokeza waziwazi humu kuijadili TISS huku tukitumia majina yetu halisi, huu ni uthibitisho kuwa tunaleta mjadala huu kwa nia njema kabisa Kwa kusukumwa na uzalendo wa kulisaidia taifa letu pale idara yetu hii nyeti, inapochafuliwa kwa kusingiziwa tuhuma za uongo, bila uthibitisho wowote, lakini pia kama ni kweli TISS inahusika, na hawa 'wasiojulikana', then tukubaliane kuwa TISS itakuwa ni imechafuka na inahitaji kusafishwa, the sooner the better.
Tulijuwa tunawanyooshea vidole hawa jamaa kuhusika na wasiojulikana, kumbe wasiojulikana ni miongoni mwetu sisi wengine na kumbe kuna wenzetu miongoni mwao, wanawajua lakini wamekula kobisi!.

Jee tutafika?.
P
 
Mimi Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kuandika Investigative Stories, (IJ), ila pia nimepata bahati ya kuzaliwa na kukulia katika familia ya TISS kwa wazazi wangu wote wawili, baba na mama. Baba Mzee Andrew Mayalla (RIP) ameishatangulia mbele ya haki, na mama bado yuko hai, hivyo baadhi ya hoja zangu za kiitelijensia, sio kwasababu mwana wa nyoka ni nyoka, bali mtoto ukizaliwa kwa wazazi wote wawili ni wana inteligensia wa TISS, unazaliwa na natural intelligence ambayo ni tool muhimu sana kuweza kuwa Investigative Journalist.
🤣🤣🤣Pascal
 
Wanabodi

Naendelea na mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Leo nikiijadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hii ni idara ya Usalama wa Taifa, TISS
Introduction ya Mada
Hii ni mada very serious kwasababu inaijadili idara yetu nyeti ya TISS ambayo kutokana na unyeti wa idara hii, issues za idara hii huwa hazijadiliwi hovyo hovyo, hivyo ukiona hadi watu tunaojinasibu humu kuwa ni wazalendo wa taifa hili halafu tukajitokeza waziwazi humu kuijadili TISS huku tukitumia majina yetu halisi, huu ni uthibitisho kuwa tunaleta mjadala huu kwa nia njema kabisa Kwa kusukumwa na uzalendo wa kulisaidia taifa letu pale idara yetu hii nyeti, inapochafuliwa kwa kusingiziwa tuhuma za uongo, bila uthibitisho wowote, lakini pia kama ni kweli TISS inahusika, na hawa 'wasiojulikana', then tukubaliane kuwa TISS itakuwa ni imechafuka na inahitaji kusafishwa, the sooner the better.

Topic ya mjadala huu ni TISS Ikanushe Tuhuma za Uvamizi, Utekaji, Utesaji na Mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge Kwa Uwazi bali Wachunguzwe, Wakithibitika Kuhusika, Wafumuliwe Kwa Kusafishwa Tujenge TISS Safi!

Hivyo naomba mjadala huu ufanyike kwa heshima, staha na uangalifu mkubwa ili badiko hili lisionekane ni bandiko la kukosa uzalendo bali liwe ni bandiko la uzalendo wa kweli kwa taifa lalo lenye lengo la kusadia taifa letu kwasababu haya matukio ya ajabu ajabu yanayohusishwa na TISS, yanaichafua Taswira ya TISS yetu, ambapo kikawaida TISS inapaswa kuwa kama Ikulu, Ikulu ni mahali patakatifu, na TISS inapaswa kuwa ni Idara Takatifu, uadilifu wa TISS, unapaswa uwe ni uadilifu wa kiwango cha juu kabisa ambao haupaswi kutiliwa shaka yoyote, unapaswa kuwa ni uadilifu wa kiwango cha mke wa Kaisari, ile kutuhumiwa tuu ni kosa tosha hata bila kuthibitishwa, anahukumiwa!, hivyo hizi tuhuma mbalimbali za Uvamizi, Utekaji, Utesaji na Mauaji zinazoelekezwa TISS bila ya kukanushwa, zinapelekea TISS yetu kuhukumiwa na mahakama ya umma ambayo haihitaji ushahidi kama tuhuma tuu za mke wa Kaisari, hivyo lengo la bandiko hili ni ushauri wa bure kwa TISS yetu kuwa haya mambo mabaya ambayo TISS inanyooshewa kidole kuwa inahusika, kama haisiki, TISS i come to an open, ikanushe!, ukituhumiwa tuhuma za uongo, ukinyamaza kimya bila kukanusha, hiyo silence inachukuliwa kama ni admission of guilty.

Declaration of Interest
Tunapojadili jambo nyeti kama hili, ni vizuri ku declare interest ili kwanza kujenga imani kwenu wasomaji wangu kuwa mwandishi wa makala hii ni mtu wa kuaminika, hizi data kwenye bandiko hili ni data za kuaminika authentic na bonafide genuine sio data za kuokoteza, data za kubuni au data za kuzua,hivyo ni vyema mimi nikajitambulisha kidogo kwenu, pia kwa sababu mtu unapotoa data nyeti from time to time katika mabandiko yako, huchelewe kunyooshewa kidole kuwa huyu jamaa ni TISS, hivyo na mimi kudhaniwa ni TISS, hivyo bandiko kama hili, litawafungua macho wengi humu kuwa huyu mtoa mada atakuwa ni TISS wa ajabu kweli kuilaumu ofisi yake mitandaoni.

Mimi Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kuandika Investigative Stories, (IJ), ila pia nimepata bahati ya kuzaliwa na kukulia katika familia ya TISS kwa wazazi wangu wote wawili, baba na mama. Baba Mzee Andrew Mayalla (RIP) ameishatangulia mbele ya haki, na mama bado yuko hai, hivyo baadhi ya hoja zangu za kiitelijensia, sio kwasababu mwana wa nyoka ni nyoka, bali mtoto ukizaliwa kwa wazazi wote wawili ni wana inteligensia wa TISS, unazaliwa na natural intelligence ambayo ni tool muhimu sana kuweza kuwa Investigative Journalist.

Tuhuma Mbalimbali TISS
Kuna matukio mbalimbali yametokea na kuhusishwa na TISS, mengine ni visible, mengine ni invisible, sasa kwa sababu watu wote wenye akili timamu, wanajua TISS zote duniani huwa zinafanya matukio, yale matukio ambayo in invisible yanayohusishwa na TISS, kama kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda, sitahitaji TISS wajitokeza kuyakanusha kwasababu ni tuhuma za hisia tuu, lakini kwa yale matukio visible kama kushambuliwa kwa Tundu Lissu, kuvamiwa kwa Clouds Media na wale makirikiri wa Mkuu wa Mkoa wa DSM na yule mpuuzi aliyemtishia bastola Waziri Nape kuelezwa kuwa wale ni TISS kunaichafua idara yetu nyeti ya TISS!. Hivyo kama wale makirikiri waliovamia Clouds TV sio watu wao, TISS wasikae kimya wajitokeze wawakane na kukanusha uhusika wa TISS!. Kama yule mpuuzi aliyemtishia Nape kwa bastola sio mtu wao, TISS wajitokeze wamkane na wakanushe. Huku kutokea kwa matukio kama haya na kuhusishwa na TISS, halafu TISS wanajua sii kweli, sii wao, huku kukaa kimya bila TISS kukanusha uhusika wake, kunachukuliwa ni admission of guilt!.

Jee Tuhuma za Uhusika wa TISS zinatolewa Wapi na Zinatolewa na Nani?.
Nyingi ya tuhuma za kuhusika kwa TISS katika baadhi ya matukio ya hovyo, huanza kwa kutolewa na watu tuu wa kawaida, tuhuma zinapotolewa na watu wa kawaida tuu, watu ambao they are nobody, na zinatolewa kwenye vijiwe vya kahawa, it is right, kuzipuuza, lakini tuhuma hizi dhidi ya TISS zinapofikia kiwango cha kutolewa ndani ya Bunge letu Tukufu, tuhuma hizi sio za kuzipuuzia hata kidogo kwasababu Bunge ni chombo rasmi, wabunge wtu ni wawakilishi rasmi wa wananchi, wanapoituhumu TISS Bungeni, this is something very serious, sio jambo la kupuuziwa kwasababu TISS iko chini ya Ikulu yetu, na Ikulu ni mahala patakatifu, tuhuma tuu kumhusu mke wa Kaisari zinatosha kumuondoa Ikulu asije akapanajisi patakatifu petu!. Hiyo TISS isikae kimya lazima iibuke kuja kukanusha kutohusika kwake na kujisafisha na uchafu wa makandokando haya!, winginevyo kama ni kweli inahusika, ijitathimini yenyewe kwa kuwajibika au iwajibishwe kwa kusafishwa!.

Jee TISS ni Chafu Inahitaji Kusafishwa?.
Huu mjadala unaoendelea kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ambavyo vinahusishwa na idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa, TISS ni uthibitisho tosha kuwa TISS imechafuka inahitaji au kujisafisha au kusafishwa!.

Pamoja na Tanzania kuridhia mkakati wa Open Government Initiatives lakini kuna vitu huwezi kuvijadili openly lakini bado unaweza kuvichunguza na kuvifanyia kazi kimya kimya ila public ikaona matokeo na kurudisha imani.

Kuna watu wanadhani Usalama wa Taifa TISS wao ni malaika na hawawezi kabisa kufanya makosa kama madudu haya wanayotuhumiwa nayo sasa. No!, TISS ni kweli kwa vile iko chini ya Ikulu, na Ikulu ni mahali patakatifu, TISS pia inapaswa kuwa ni idara takatifu, lakini kwa vile TISS inaendeshwa na binadamu na sio malaika, TISS inaweza kufanya makosa na uchafu huo ukawa ni kweli ni TISS, ndio maana katika bandiko hili nasisitiza tuhuma hizi dhidi ya TISS kama sii kweli, TISS ikanushe, kama ni kweli, TISS imechafuka na inahitaji kusafishwa!. Hii sii mara ya kwanza kwa TISS kuchafuka, huko nyuma kuliwahi kutokea matukio ya TISS kuchafuka na Ilisafishwa!.

TISS Iliwahi Kuchafuka Vipi na Ilisafishwaje?.
Tiss huko nyuma iliwahi kufanya makosa ya utekaji, utesaji na hata uuaji, na ikafumuliwa!. Hivyo kwa vile tayari tunayo precedence ya vitendo viovu vya TISS kuwahi kufanyika huko nyuma, hivyo kwa kuutumia uthibitisho wa uovu huo, una justify kuwa kuna pia kuna wa vitendo hivi viovu ambavyo TISS inashutumiwa navyo, kuna uwezekano kabisa ikawa ni kweli ni TISS wetu ndio is behind huu uovu na uchafu huu unaozungumziwa sasa hadi Bungeni kwetu, ndio maana hadi Bunge linaelezwa halafu TISS wamekaa kimya wakishupaza shingo zao, kwa hoja kuwa "mnaweza kutufanya nini?", it's very true TISS ya nchi zote wakifanya uovu wowote kwa amri halali kutoka juu, no one can do anything!, hawawezi kufanywa lolote wala kuchunguzwa na yoyote, hapa duniani, but kuna mamlaka moja pekee kuu kuliko mamlaka zote, inayoweza kufanya kitu, kupitia kitu kinachoitwa Karma, hakuna atakajua kuwa mamlaka hiyo imefanya, bali matokeo ya karma ndio huonekana!.

Jee ni TISS Wetu Wanafanya Vitendo Hivi au Wanasingiziwa?.
Kuna uwezekano sio kila utekaji, utesaji, mashambulio na mauaji yanafanywa na TISS, inawezekana kabisa sio TISS as TISS bali matukio hayo ni acts za individual members wa TISS wakifanya a "stand alone operations" bila kupokea command yoyote kutoka juu, hivyo vitendo viovu vya members wachache wa TISS, vikaichafua image nzima ya TISS yetu safi collectively under the collective responsibilities formula.

Pia inawezekana kabisa vitendo hivi vinafanywa na wahuni fulani, ambao wana pose as TISS just to make believe kuwa ni TISS kumbe sio TISS bali ni just impostors wanao fanya matukio kwa kupose as TISS ili ionekane ni TISS, hivyo wanaochafua the good image ya TISS wetu waadilifu, this being the case, TISS iwakane wahuni hawa, ijitokeze kukanusha uhusika wake, na wahuni hawa watafutwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kuchafua good image ya TISS yetu takatifu!.

Whichever the case, TISS ijitokeze ama ijisafishe na iwakane wahuni hawa, ama isafishwe na kurudisha imani na TISS wetu kwa wananchi wa taifa letu.

Sikilizeni Tuhuma za TISS Bungeni Kwetu
Hebu kwanza msikilizeni Mhe. Husein Bashe

Kisha msikilize Mhe. Tundu Lissu anasema nini kuhusu utekaji na utesaji wa TISS, hao anaowatetea ndio wenye bahati who could live to tell, hivyo ndio waliosalimika, only God knows kwa wale wasio na bahati hatima yao ilikuwaje because they couldn't live to tell!.

Kwa hiyo Pascal Ulivyoitwa kule bungeni kuhojiwa ulienda kukutana na Workmates wenzako🤣🤣
 
Jasusi amekuwa moja ya sauti adimu - na pengine sauti pekee - kuhusu haja ya mageuzi kwenye sekta ya usalama hususan haja ya kuifumua Idara ya Usalama wa Taifa ili iwe na ufanisi zaidi kwa Watanzania badala ya hali ilivyo sasa ambapo imekuwa genge la kihalifu linalotumika kinyume na sheria zinazoruhusu uwepo wake.
Mkuu Evarist Chahali, kwanza nikuombe radhi kwa ku super impose hii hoja. Kweli wewe ni sauti adimu kuhusu mageuzi sekta ya usalama wa taifa, na hoja ya kiufumua hii idara, ila you could be the only one and not the only one.

You are the only one as the only Tiss anayefahamika na ku expose na kuzungumza publicly uozo wa Tiss na madudu yake!, but you are not the only one kuizungumzia Tiss ifanyiwe mabadiliko na maboresho.

Bandiko hili ni uthibitisho.

P
 
K

Kijana jiangalie sana
 
Jamani kwanini mtu akihoji yawa kama katukana watu? Au kakosea? Au labda kuna ukweli ndani yake?
Binadamu unapomkataza kujadili kitu ndipo hapo atang’ang’ania, that is if ana akili timamu. Tujadili watu watoe maoni kama hupendi basi usiingie kwenye thread. Haya ni mawazo tu. Unless kuna walengwa wanaona watakosa chakula!
 
Paschal Mayala,wewe ni mtu wa idara ya usalama wa Taifa na ccm wamekupandikiza kwa makusudi humu mitandaoni kwaajili ya kuvuruga movements za Watanzania za kuing'oa ccm na kudai katiba mpya
Mkuu monde arabe, du...!.
Naheshimu freedom of thinking and freedom of expression yako,
Hivyo inawezekana hata siku ile pale Ikulu ni Idara ndiyo ilinituma kumuuliza swali hili Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli bosi wangu?.

Na katika kuisafisha Idara, huyu ni ofisa wa Idara amekuja humu kuisaidia kuisafisha idara TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Na ili kulisafisha Bunge letu, itakuwa ofisa kipenyo huyu alishauriwa kuandika kuhusu Bunge kujipendekeza kwa serukali kisha ikamtuma dodoma Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Na kulipotokea tishio la usalama kwa taifa letu, afisa kipenyo huyu ali copy and paste ripoti ya ofisini na kuimwaga humu jf Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Then kiukweli tutakuwa na TISS ya ajabu sana!.
Kama kila watoto wanaozaliwa na wazazi wote baba na mama ambao ni Tiss na watoto wao ni Tiss then TISS itakuwa na watu wengi sana!, sisi tumezaliwa 8!.
P
 
Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
TISS enzi zile za giza nene ilikuwa ikitesa, kuteka na kuua watu kupitia KAKIKUNDI KANAITWA VIJANA WAZALENDO TZ.... kakikundi haka kaovu kalipatikana pale makumbusho kakiongozwa na MSIGWA GRAYSON
 
Back
Top Bottom