castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,821
- 3,293
Ni video iko mtandaoni kiongozi mara ya kwanza nilidhani imerekodiwa na mtu wa njee kumbe ni waowao wenyeweMbaya zaidi hakuna Ushahidi wowote unaoonesha hizo picha zimepigwa na hao unao watuhumu,
Vipi kama ni raia ndo kapiga na kuzisambaza?