TISS imefikia huku. Wanapiga picha wakiwa kwenye msafara na kujipost. Kweli Nchi imejifia hii

TISS imefikia huku. Wanapiga picha wakiwa kwenye msafara na kujipost. Kweli Nchi imejifia hii

Hata wewe hapa ukijitokea, una option 2 tu:- ama ufe au uue
Wewe huna sababu zozote za msingi za kufanya fujo
Pili huna uwezo wa kufanya hizo fujo dhidi ya mamlaka za serikali
Tatu hakuna mbongo atakayeleta fujo yoyote siku ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom