Asemavyo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 394
- 1,133
Anaandika kwenye ukurasa wa X dakika kadhaa zilizopita huko
Anasema hivi
Scenarios za washauri wa kizimkazi:
1. Lissu afungwe alafu atolewe kwa msahama wa Rais - lengo akose sifa ya kugombea Urais.
2. Amekuwa offered kuachiwa kwa sharti aondoke nchini. Simba kakataa, hafanyi biashara.
Atautetea uadilifu wake na kudai haki yake.
Tumuunge mkono.