Asemavyo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 394 Reaction score 1,133 Sep 22, 2025 #1 Anaandika kwenye ukurasa wa X dakika kadhaa zilizopita huko Anasema hivi Scenarios za washauri wa kizimkazi: 1. Lissu afungwe alafu atolewe kwa msahama wa Rais - lengo akose sifa ya kugombea Urais. 2. Amekuwa offered kuachiwa kwa sharti aondoke nchini. Simba kakataa, hafanyi biashara. Atautetea uadilifu wake na kudai haki yake. Tumuunge mkono.
Anaandika kwenye ukurasa wa X dakika kadhaa zilizopita huko Anasema hivi Scenarios za washauri wa kizimkazi: 1. Lissu afungwe alafu atolewe kwa msahama wa Rais - lengo akose sifa ya kugombea Urais. 2. Amekuwa offered kuachiwa kwa sharti aondoke nchini. Simba kakataa, hafanyi biashara. Atautetea uadilifu wake na kudai haki yake. Tumuunge mkono.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Sep 22, 2025 #2 Alifikiri Lissu ni Mbowe!! Ngoja aendelee kujiharibia tu ndani na nje ya nchi kupitia haya matendo yake ya uonevu na ukatili. Na hii chuki aliyo ijenha mioyoni mwa wananchi wapenda haki, itamuandama mpaka siku kufa kwake.
Alifikiri Lissu ni Mbowe!! Ngoja aendelee kujiharibia tu ndani na nje ya nchi kupitia haya matendo yake ya uonevu na ukatili. Na hii chuki aliyo ijenha mioyoni mwa wananchi wapenda haki, itamuandama mpaka siku kufa kwake.