Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Daah!! πŸ€”πŸ€” Yale yale ya Kabendera. Lol
 
Nami nimewaza hivyo. Yaani waandishi wanaokosoa serikali kwa wakati huu wanapewa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha ili kuwaziba midomo. Na hizi kesi huvhukua miaka mingi. Kesi ya Rugemalila na Sethi haijaanza kusikilizwa mpaka leo, wanasomewa mashitaka tu. YANA MWISHO HAYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loudly fuckyyyyy CCM na mapolisi wote na huyo mkandamizaji wa haki za binadamu
 
Nchi ilishaingiliwa hiii nyie endeleeeni kushangilia kuwa aongezewe miaka, endeleeeni tu had yatakapowakuta Ndugu zenu ndio mtajua kuwa Nyumba imeingiliwa na, ule Wimbo wa naniiiii kuwa nyumbani kwetu ameingia......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tito kaza Moyo utashinda hiyo n vita ya shetani ...
Et seventeen milioni three hundred fifty four thousand ,five hundred thirty five ...
Shenz kabisa mkawatese huko halafu mkose cha kusema muwafungulie kesi vijana wetu .
 
Mkuu utachanganyikiwa bure.....
kunywa beer zako choma mbuzi ule..
maisha yaendelee
Na ukiwa na mkeo mtoe out ila asisahau kuvaa nitengeneze na lemba juu.
Niongeze sauti au inatosha mkuu.
 
Hakuna aliesalama Kwa sasa, labda hicho kikundi tu kidogo cha watu wasiojulikana Wakati mnaishi nao mnakula nao mnaamka nao


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni serikali ifanye kazi.

Hata hao wajanja wajanja lazima wajue serikali iko makini kuwasaka na kuwatambua popote pale.
 
Alitekwa akiwa amevaa hiyo "pensi" tu? Kwanini wanasheria wenzake wasimpatie japo hata "kanzu" ili ajihifadhi?
Yani...Ila kwanini kanzu na sio suruali mkuu?
Mambo ya uhamsho mi siyawezi banaπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
To be honest sasa hivi serikali imekuwa haibalance usawa, huwezi kumbambikia mtu kesi ya uhujumi uchumi eti kisa amekukosoa.

#Free_Tito_Magoti.
Ukiamua kukosoa anza kujukosoa kwanza.
Kuna watu humu wanapewa vijihela vya mboja afu wanaanza kuandika vitu hawanavyo uhakika.

Serikali iko macho na wahuni.. lazima ashughulikiwe.
 
Tito Magoti....

Hii sura sio ngeni kwangu....hope amemaliza Mzumbe huyu jamaa tena roommate wa mshkaji fulani.

Ila alikuwa kimya saana kumbe...maisha ya shule sio mara zote yanakutabiri utakuaje mtaani.
 
Mimi naongea kila siku naishia kutukanwa ila WAKRISTO WANA ROHO MBAYA SANA...ACHA TU SERIKALI YA KIKRISTO IWATESE WAKRISTO
Hayo maembe sijui mamembe nayo yawindwe tu YOTE MAROHO MBAYA MBAYA TU MAKRISTO[emoji4]YAUANE VIZURI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…