Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nimewaza hivyo. Yaani waandishi wanaokosoa serikali kwa wakati huu wanapewa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha ili kuwaziba midomo. Na hizi kesi huvhukua miaka mingi. Kesi ya Rugemalila na Sethi haijaanza kusikilizwa mpaka leo, wanasomewa mashitaka tu. YANA MWISHO HAYAMakosa yale yale Kama ya Kabendera ya uhujumu uchumi/utakatishaji fedha.
Makosa haya hayana dhamana, na ni dhahiri shahiri yamelenga kuwakomoa hawa vijana....maana historia inaonesha huwa upelelezi wake haukamiliki.
Haki kwa Sasa imetoweka kabisa kwenye Taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu mkuuDaaaah Ngoja Nielekee THE GREAT Tabata Nikale Beer tu.
KWA HIYO HAWA VIJANA WAKIENDA JELA MAISHA YA WATANZANIA YATAKUWA MAZURI?
Tito Magoti na mwenzake wamepandishwa kisutu wakikabiliwa na shitaka la uhujumu uchumi ikiwemo kutakatisha fedha Tshs milioni 17.
Aidha pamoja na shitaka hilo pia wanakabiliwa na mashitaka mengine mawili ikiwemo kutengeneza program ya computer kinyume cha sheria ili kujipatia fedha.
Sisi tunaobeti siku tukipanda hapo hatuchomoki maana ni full kutakatisha.
Nchi ilishaingiliwa hiii nyie endeleeeni kushangilia kuwa aongezewe miaka, endeleeeni tu had yatakapowakuta Ndugu zenu ndio mtajua kuwa Nyumba imeingiliwa na, ule Wimbo wa naniiiii kuwa nyumbani kwetu ameingia......
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
Na ukiwa na mkeo mtoe out ila asisahau kuvaa nitengeneze na lemba juu.Mkuu utachanganyikiwa bure.....
kunywa beer zako choma mbuzi ule..
maisha yaendelee
Hakuna aliesalama Kwa sasa, labda hicho kikundi tu kidogo cha watu wasiojulikana Wakati mnaishi nao mnakula nao mnaamka nao
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
Acheni serikali ifanye kazi.

Yani...Ila kwanini kanzu na sio suruali mkuu?Alitekwa akiwa amevaa hiyo "pensi" tu? Kwanini wanasheria wenzake wasimpatie japo hata "kanzu" ili ajihifadhi?
Ukiamua kukosoa anza kujukosoa kwanza.To be honest sasa hivi serikali imekuwa haibalance usawa, huwezi kumbambikia mtu kesi ya uhujumi uchumi eti kisa amekukosoa.
#Free_Tito_Magoti.
Huyu jamaa kamaliza Mzumbe nadhani itakuwa 2015.Kumbe ni wavulana wadogo Sana...