Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Rudi ukasome tena!!Unaandika ujinga .Wewe tena mpiga ramli umekula?
bahati mbaya walikuja wakafukuzwa airportHabari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
toka mwanzo tushakwambia ICC haina uwezo wa kumshtaki raisi yoyote unatapa tapa kila sehemUtaelewa sasa kama nyie wauaji ni sovereign country au vidampa tu?
Stay tunedtoka mwanzo tushakwambia ICC haina uwezo wa kumshtaki raisi yoyote unatapa tapa kila sehem
Nakuonea hurumaStay tuned
Hata Maduro alikuwa analinda sovereignty ya nchi yake, leo ananyea debe.Serikali hailazimishwi kufuata matakwa ya Mabeberu inapolinda sovereignty yake.
upandishe huo uzi.Uwe unasoma Nyuzi, MALCOM LUMUMBA alieleza kinaga ubaga, maswali yalo yana majibu
Kombo, Palamagamba na Possi wapo Geneva kumsafisha mama nasikia wanaenda Italy kupiga picha na Papa.DW HAWATOI NAFASI YA WAOVU KUPUMUA, LEO WAMETOA HABARI HII
Nchini Tanzania familia nyingi bado zinahangaika kutafuta miili ya wapendwa wao waliopotea wakati wa machafuko ya wakati na baada ya uchaguzi uliofanyika miezi mitatu iliyopita.
Mashirika ya haki za binadamu yanasema mamia ya watu huenda walizikwa kwenye makaburi ya pamoja, huku serikali ikikanusha madai hayo.View attachment 3535520
Kosa lingine kubwa analofanya Samia baada ya haya mauaji ya kutisha ni Kila anapowashiwa maiki...anapofungua mdomo tu lazima aliongelee hili katika lugha ya kuudhi na kuleta. Haleti utengemano ila anaharibu sana
Anaongea lugha mbovu sana juu ya hili swala. Sijui hawamahauri huko ndani au ni nini anawazaga anaposimanga watanganyika katika hili.
Hahahaha😀Kombo, Palamagamba na Possi wapo Geneva kumsafisha mama nasikia wanaenda Italy kupiga picha na Papa.
Hiyo taarifa haiko popote hata huko ICC kwenyewe
Kombo, Palamagamba na Possi wapo Geneva kumsafisha mama nasikia wanaenda Italy kupiga picha na Papa.
Nenda Iran kawasaidie magaidi ya kiislam yanapelekewa moto na Trump.KWAHIYO MKIKAA HUKO.MAKANISANI MNAONA HUO UJINGA NDIYO FARAJA YENU PEKEE YA KUONGOPEANA??
Wanapoteza muda tu.Kombo, Palamagamba na Possi wapo Geneva kumsafisha mama nasikia wanaenda Italy kupiga picha na Papa.
Hata Maduro alikuwa analinda sovereignty ya nchi yake, leo ananyea debe.
tunasubiria amchomoe khamenei kama maduroNenda Iran kawasaidie magaidi ya kiislam yanapelekewa moto na Trump.
Wanapoteza muda tu.
Warudi tu Tanzania wajadiliane vizuri kwa transfer of power na kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya chini ya Serikali Mpya.
Wazungu wameshawajua kuwa ni waongo na ndumilakuwili hivyo hakuna watakachosema kitaaminiwa.
toka umeanza kuwaongelea hao wazungu ni mda sasa, nakuonea hurumaWanapoteza muda tu.
Warudi tu Tanzania wajadiliane vizuri kwa transfer of power na kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya chini ya Serikali Mpya.
Wazungu wameshawajua kuwa ni waongo na ndumilakuwili hivyo hakuna watakachosema kitaaminiwa.