- Thread starter
- #221
Nani kakuambia uchunguzi tayari, kaletewa samansi akajieleze ana haki ya kujibu au kutojibu.Ndiyo utaratibu wa ICC, halafu uchunguzi gani wamefanya miezi miwili!?
Moja ya utetezi wake ni huu...
I HAD to use EXCESSIVE FORCE to SLAUGHTER innocent civilians, they wanted to OVERTHROW my regime.