Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Yatakayomkuta Samia na washirika wake ni kama yaliyomkuta Slobodan Milosevic.Kuna mambo mawili unachanganya bwana mdogo.
Kutolewa kwa kibali cha kumkamata mtu na kitendo chenyewe cha kumkamata ni mambo mawili tofauti.
Ndio maana wapo viongozi wengi ambao zimetolewa hati za kuwakamata na hadi sasa hawajakamatwa na bado wameendeleza matendo yao ya kinyama. Ungekuwa ni mwelewa angalau ingeendelea kuhifadhi furaha yako kwa matumizi sahihi.
Muuaji ajichunguze give me a break.Hao ICC wamefanya uchunguzi lini?..siyo hao ambao huitaka nchi husika kwanza kuchunguza,ikigoma ndiyo wachunguze wao!?
Kosa lingine kubwa analofanya Samia baada ya haya mauaji ya kutisha ni Kila anapowashiwa maiki...anapofungua mdomo tu lazima aliongelee hili katika lugha ya kuudhi na kuleta. Haleti utengemano ila anaharibu sana
Anaongea lugha mbovu sana juu ya hili swala. Sijui hawamahauri huko ndani au ni nini anawazaga anaposimanga watanganyika katika hili.
Oneni hii takataka🚮🚮😂Tanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Mwenzio kwa akili yake alijua anajitetea😂😂Haya mambo ni Mungu tu.
Kwa kukiri kwake kuuwa watu mbele ya mic tena akiwa live imerahisisha sana kazi ya Wachunguzi wa ICC.
Acha tu 😆😆😆Mwenzio kwa akili yake alijua anajitetea😂😂
Ona mwenyewe anavyosaidia upelelezi Ushahidi huu hapa tosha, ICC haiitaji ushahidi mwingine.I HAD to use EXCESSIVE FORCE to SLAUGHTER innocent civilians, they wanted to OVERTHROW my regime.
View attachment 3535465
Ndiyo utaratibu wa ICC, halafu uchunguzi gani wamefanya miezi miwili!?Muuaji ajichunguze give me a break.
unaleta utani kwenye mambo seriousTutaroga hatoenda huko walahi
Hujui muda wa uchunguzi unategemea na upatikanaji wa ushahidi?Ndiyo utaratibu wa ICC, halafu uchunguzi gani wamefanya miezi miwili!?
Itajulikana mbele ya safari, watu hawaitaki serikali ya ccm hata maji yasio salama wameshindwa kufikisha Dar achilia mbali masafi.Ila kuna watu mnapenda sana drama. Bado hamjajua jinsi ya ku deal na monsters.
Kuna mambo mawili unachanganya bwana mdogo.
Kutolewa kwa kibali cha kumkamata mtu na kitendo chenyewe cha kumkamata ni mambo mawili tofauti.
Ndio maana wapo viongozi wengi ambao zimetolewa hati za kuwakamata na hadi sasa hawajakamatwa na bado wameendeleza matendo yao ya kinyama. Ungekuwa ni mwelewa angalau ingeendelea kuhifadhi furaha yako kwa matumizi sahihi.
Una miaka mingapi, isije ikawa najadiliana na mtoto wangu.wewe ndio labda unachanganya mambo, arrest warrant ikitoka ataennda/pelekwa hague, tanzaguza siyo russia au israeli, hiyo arrest warrant kama kweli ikitoka kila kitu kinabadilika kuanzia siku hiyo na uraisi wa tanzagiza ndiyo utafikia ukingoni whther mnataka au hamtaki, hapo cha kufanya muombee tu arrest warrant isitoke, ln ikitoke atashikwa tena ndani ya mwaka mmoja tu na atakuja raisi mwingine na maisha kuendelea ...
Hata wewe ungekuwa kiongozi pale juu hali ingekuwa hivi hivi ilivyo au mbaya zaidi.Itajulikana mbele ya safari, watu hawaitaki serikali ya ccm hata maji yasio salama wameshindwa kufikisha Dar achilia mbali masafi.
Maandamo ya mashoga wenzako labda..,unaandamana mupewe uhuru wa kupakuliwa si ndio.
Uchawa ni ukilaza tosha ulionao?.Tafuta mwanasheria imara akupe shule sio hawa vilaza tulionao huko mitaani wataishia kukudanganya na kula pesa yako.
Una miaka mingapi, isije ikawa najadiliana na mtoto wangu.
Anyway elewa kwamba hakuna atakayemkamata Rais Samuya, bakini na fantasy zenu kama zinawaongezea chochote.
Uue wananchi wako harafu unasema usiingiliwe. Hakuna sovereignty ya kuua civilians mkuuTanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Mkuu Kama UNAINGILIWA NI WEWE! USINIJUMUISHE! Mwananchi mimi!Tanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.