Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Time bond ndo nini wakati arrest Warrant zinatoka muda wowote kuanzia sasa?Unaona unashindwa hata kuweka time bound kwa sababu mdogo wangu unaamini kwenye mizuka badala ya kuzingatia facts.
Time bond ndo nini wakati arrest Warrant zinatoka muda wowote kuanzia sasa?Unaona unashindwa hata kuweka time bound kwa sababu mdogo wangu unaamini kwenye mizuka badala ya kuzingatia facts.
Katika watu waliosababisha watoto wa watu kuuliwa uyo bwege yumo, matokeo ya kutomeza watoto wa watu then yeye abaki nyuma ya keyboard akipiga jaramba , unadhani Mungu atamuchekea ?!. Soon huyo kibwengo anakuwa chizi.Unaona unashindwa hata kuweka time bound kwa sababu mdogo wangu unaamini kwenye mizuka badala ya kuzingatia facts.
Mnajisifia kuuwa watoto wa watu. Sasa mtaeleza vizuri huko ICCKati waliosababishwa watoto wa watu kuuliwa na huyo bwege yumo, matokeo ya kutomeza watoto wa watu then yeye abaki nyuma ya keyboard akipiga jaramba , unadhani Mungu atamuchekea . soon huyo anakuwa chizi.
Wewe mbona hujafa ..? kufa mshenzi wewe.Mnajisifia kuuwa watoto wa watu. Sasa mtaeleza vizuri huko ICC
Soon utaelewa kama pumbav waheed ni mimi au wewe?Wewe mbwa koko si ndio chanzo , kuwapump watoto wa watu kuwa watoke jeshi lipo nao . Pumbavu waheeed
Toy soldier plus keyboard warrior wa mchongo.Mnajisifia kuuwa watoto wa watu. Sasa mtaeleza vizuri huko ICC
Na nyie endeleeni kumpa moyo mama yenu siku akinyakuliwa hatutaki kusikia cha nywinywinywi.Endeleeni kupeana moyo, mfanye ujinga wa kuchoma biashara za watu halafu muachiwe tu!.
Endeleeni kujipa moyo kupitia nyuzi kama hizi.
Hakuna wa kumnyakua kaka, unaelewa maana ya kuundwa kwa tume ya Chande?. Msidanganywe na hawa mawakili feki waliojaa hapa Tanzania, mawakili wa vizazi na vifo.Na nyie endeleeni kumpa moyo mama yenu siku akinyakuliwa hatutaki kusikia cha nywinywinywi.
Unawaona wazungu ni mapoyoyo kama mlivyo nyie kwamba hawajui huyo Tume yenu mmeiunda kujaribu kuficha uovu na kuwaepusha wahusika na uwajibikaji?Hakuna wa kumnyakua kaka, unaelewa maana ya kuundwa kwa tume ya Chande?. Msidanganywe na hawa mawakili feki waliojaa hapa Tanzania, mawakili wa vizazi na vifo.
Wenye dunia walishatamka hiyo tume ni feki, wakasema wanataka an international and inclusive commission, afterall mashahidi wenyewe wameiumbua hadharani hadi ikaomba poo.Hakuna wa kumnyakua kaka, unaelewa maana ya kuundwa kwa tume ya Chande?. Msidanganywe na hawa mawakili feki waliojaa hapa Tanzania, mawakili wa vizazi na vifo.
Tafuta mwanasheria imara akupe shule sio hawa vilaza tulionao huko mitaani wataishia kukudanganya na kula pesa yako.Unawaona wazungu ni mapoyoyo kama mlivyo nyie kwamba hawajui huyo Tume yenu mmeiunda kujaribu kuficha uovu na kuwaepusha wahusika na uwajibikaji?
Tulieni muone Dunia inavyowafurahisha safari hii.
Nitafute mwanasheria wakati mie ni graduate wa sheria UDSM tena wa kipindi UDSM was UDSM kweli.Tafuta mwanasheria imara akupe shule sio hawa vilaza tulionao huko mitaani wataishia kukudanganya na kula pesa yako.
Hujui lolote kama unadanganyika na vitu vya namna hii, rudi shule upunguze kuaibisha fani nzima ya sheria.Nitafute mwanasheria wakati mie ni graduate wa sheria UDSM tena wa kipindi UDSM was UDSM kweli.
Tulia ufurahishwe kweliHujui lolote kama unadanganyika na vitu vya namna hii, rudi shule upunguze kuaibisha fani nzima ya sheria.
Huyu SSH ataendelea kudunda mtaani, nyinyi endelezeni hayo madua ya kuku.Tulia ufurahishwe kweli
Ni kweli, hata tukifanya mauji mambo yetu hayawezi kuwajibiisha viongozi. Faida kubwa ya kutoingiliwa na wazungu ni pamoja ma kufanya mayaji dhidi ya raia na usihojiwe.Tanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Zaidi ya hawa,Tafuta mwanasheria imara akupe shule sio hawa vilaza tulionao huko mitaani wataishia kukudanganya na kula pesa yako.